is pangani three level hahahaha leo umenifurahisha sana ππππππThika road at Pangani is already a 3 level interchange. 10 year old road.
Alafu, you only build what you need. We can't go building '3 level interchanges' when we don't need them.
thanks for renders ππππππJKIA - Westlands Expressway - currently under construction. ($650 million)
More than 15km will be above ground. Essentially a road on top of a road.
Ile siku mtajenga barabara ya juu (bridge/overpass) zaidi ya kilomita mbili, kuja useme hapa.
We don't dwell on small issues. Interchange ya chini ya kilomita moja hizo tulifanya 15 years ago.
Hizi ni picha za hii expressway inayojengwa saa hii. Chini yake ni barabara iliyopo sasa hivi. (Imefichwa)
View attachment 1455614
View attachment 1455615View attachment 1455616
pangani sio three level usichanganye chumvi na sukari πππππNilichosema ni kwamba interchange mnayosifia sasa ilijengwa Pangani, Nairobi 10 years ago.
Mradi unaojengwa sasa hivi wa JKIA to Westlands pia unaongeza '3 level interchange' mbili.
iko na mpango leo munazungumza miaka 50 kuhusu likoni bridgeπππππMombasa bridge iko na mipango iko kujenga ingine. Ndani ya mwaka huu ama ujao tutaanza bridge ya pili.
Lakini Mombasa sio Dar.
Mombasa ni jiji lisilo na watu wengi kama Dar ama Nairobi.
Kwanza mgao wa pesa unapelekwa kwenye watu wengi wanaishi.
siku atakuonesha three level mm nafunga acc jamii forum ππππMbn haueleweki mara useme mnayo 3 level mara hamuhitaji, ww jiamini na useme kwamba mnayo 3 level interchange af cc tuanze kukuhoji utuoneshe mahali ipo iyo 3 level na mlitumia technology gn mkaijenga kwa haraka hvyo [emoji3][emoji3][emoji3]
ww na world bank nani anajua zaidiπππKuchagua tu habari zinazo onyesha Tanania pazuri.
Haya, ndio hii hapa ripoti ya World Bank pia ikiongea kuhusu umaskini Kenya kupunguzwa.
Kwa mujibu wa World Bank, asilimia 36.1% ya Wakenya huishi chini ya $1.90 a day. (2016)
Lakini kwa mujibu wa World Bank pia, asilimia 49% ya Watanzania huishi china ya $1.90 a day. (2018)
Ripoti unayoleta hapa inaongea kuhusu TZ national poverty line, ambayo ni $0.8 a day. Hii ni poverty line iliyosemekana na serikali ya TZ.
Ripoti ambazo zinaongea kuhusu international poverty line ($1.90) ni hizi.
http://documents.worldbank.org/curated/en/431111575939381087/pdf/Executive-Summary.pdf
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030
Ndio hii summary pia.
Tanzania
View attachment 1455718
Kenya
View attachment 1455721
2012 it was 28% world bank ππππHii chapter tumefunga.
Tukitumia international benchmark ya less than $1.90 a day:
Tanzania poverty - 49%
Kenya poverty - 36%
Unachoongea kuhusu ni TZ government poverty line ya less than $0.8 a day.
Tukishukisha poverty line yetu hadi hapo, Kenya pia umaskini utashuka chini ya 20%.
Kama unaweza elewa kingereza kasome pdf.
http://documents.worldbank.org/curated/en/431111575939381087/pdf/Executive-Summary.pdf
Poverty Incidence in Kenya Declined Significantly, but Unlikely to be Eradicated by 2030
huo usukani muliochukua uko wapiπππ nimecheka sana leoTangu uhuru, Kenya imekuwa mbele hadi miaka kama mitano hivi. Na hii ni sababu ya policy za Magufuli za kuzuia bidhaa zetu kuingia.
Lakini tumechukua usukani tena.
Ikiachiwa market forces bila ubishi wa serikali, kama EAC ilivyo takiwa iwe, Kenya hatuwezi shikika.
huna taarifa kinachoendelea tanzania weweπππππTangu uhuru, Kenya imekuwa mbele hadi miaka kama mitano hivi. Na hii ni sababu ya policy za Magufuli za kuzuia bidhaa zetu kuingia.
Lakini tumechukua usukani tena.
Ikiachiwa market forces bila ubishi wa serikali, kama EAC ilivyo takiwa iwe, Kenya hatuwezi shikika.
huo usukani muliochukua uko wapiπππ nimecheka sana leo
LOL yaani wakenya ni washamba by nature, utajuaje wakati umezaliwa na utafia humo kwenye slums maisha yako yote,Nionyeshe nchi gani sai ulimwenguni wanajenga stendi kw ajili ya mabasi karne hii
Sent using Jamii Forums mobile app
thanks for renders ππππππ
tuoneshe wanapojenga ππππ
Aiseh ...uh..kenyata sijui anataka awaachiaje nchianother loan for locusts[emoji122][emoji122][emoji23][emoji23] hii nchi imekufa mark my words