Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Two rivers apartments progressing well,it will be like a small modern city when all the projects get complicated.

Cascadia apartment


Riverbank apartment
 
Heheheheheeee ni matumaini yangu kuwa hii itatumika kama reference kwny books za vijana wetu huko mashuleni, icwe tu holland
 
ukitubeep sie tunakupigia
Walidhani ni Tz ya 90's ya ujamaa na kujitegemea, kumbe ni mabepari pure [emoji3][emoji3]
 
tanzanite imedhibitiwa bro nina jamaa yangu kule anakwambia tanzanite haitoki hata ukucha [emoji23][emoji23] ndio maana unaona hata kwenye uuzaji wa tanzanite kenya umeshuka vibaya sana hawana hamu na magufuli
Heheheheheeee ukitaka kukorofishana na Magu we gusa madini yn apo anaweza kukutia hata risasi, ana kamera zake pale white house kila saa anaangalia kuta zake alizozijenga kule migodini, kila saa anaangalia akimaliza anaangalia airport, baada ya hapo anaanza kuchungulia mpakani zen ndo analala, akistuka mda wwte anacheki kamera zake tu, utamuibiaje mtu huyo[emoji3][emoji3][emoji3].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…