Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,881
- 44,233
KhaaaaaSexual spice [emoji6]
Sawa
KhaaaaaSexual spice [emoji6]
Mmh acha zakoMimi siwezi kukujibu hapa maana nakuheshimu sana Mama Mchungaji. Labda nije nikujibu PM 😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Nalifanyia kaziAbsolutely 😊🥂
Can’t wait 😊Nalifanyia kazi
ASAP#
Mnaongea sbb hakuna ht mmoja anaewahusu(familia) anaweza kufanya hivyo...Hata sigara ina madhara ila inauzwa madukani na serikali inajua
Nina jibu zuri sana ungefurahi mtumishi 😁😁😁Mmh acha zako
Hebu jibu bwana wee🤣
Mtumiaji utaambiwa faida tu hasara utajua mwenyewe, it's business hata mloganzila wamona fursa wakaona waitumia kama business, wewe uambiwe hasara ili tusipate wateja mbona inafikirisha!Mnaongea sbb hakuna ht mmoja anaewahusu(familia) anaweza kufanya hivyo...
Kwahiyo hapa halijibiki?Nina jibu zuri sana ungefurahi mtumishi 😁😁😁
😄😄😄😄😂😂😂Mbaya zaidi wametoka kwa fundi maiko
Matako yataua watu, kwahiyo babu hupendi tena inye? Kuna moja nimeona video zake sasa bhana bhana kuna video limepiga limevaa kikaptula maweeee surgery tupu, kwenye kona ya paja na tako hamna uwiano kabisaNa sample zao hizi hapa. Unakuta binti tako kubwa anaburuta lakini tupaja twembambaaaa! Maana wanachukua tu mafuta ya tumboni na kwingineko (pamoja na silicone) na kuyashindilia matakoni. Halafu tako la Mloganzila hata mtimbwiliko na mmeng'enyuko wake unatia shaka...jionee!🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Na huko mbele ya safari wakianza kuzeeka yanawaletea matatizo wengi wao inabidi wafanye operesheni tena kuyatoa. Ni ujinga mtupu! 🚮🚮🚮
View attachment 2801404
View attachment 2801409
SawaMtumiaji utaambiwa faida tu hasara utajua mwenyewe, it's business hata mloganzila wamona fursa wakaona waitumia kama business, wewe uambiwe hasara ili tusipate wateja mbona inafikirisha!
Ndugu yangu aende tu kama anataka, wote wanaoenda wanazijua athari sio kama ni wapofu
😉 ondoa hofu,leo sijakusikia na wewe ukilalamika kuhusu mvua? Zaidi ya Lamomy imepelekea hadi anatumia kifungo cha JF.Can’t wait 😊
Hivi namba yako ni ngapi vileIla wanawake tuna dhambi sana. Ina maana Mungu alikosea kukuumba hivyo?
Mungu atusamehe
Nipo ndani ya Shuka sasa hivi, kesho nitashinda njaa🤣🤣🤣😉 ondoa hofu,leo sijakusikia na wewe ukilalamika kuhusu mvua? Zaidi ya Lamomy imepelekea hadi anatumia kifungo cha JF.
Sasa taco sio CHURA TENA bsli MlonganzilaMatako yataua watu, kwahiyo babu hupendi tena inye? Kuna moja nimeona video zake sasa bhana bhana kuna video limepiga limevaa kikaptula maweeee surgery tupu, kwenye kona ya paja na tako hamna uwiano kabisa
😯😯😯😯😯 It seems like the rain is tryin' to compete with my feelin's for you😅niko njianiiiiiiiiiii 🏃♂️Nipo ndani ya Shuka sasa hivi, kesho nitashinda njaa🤣🤣🤣
Unajua faida ya vimbaumbau wewe, mna soko lenu sema wengi hamlijui tu mnajiweka nyuma tu,Sawa
Acha sie vimbaumbau tukae pembeni [emoji1787]
Hivi lile takoo huwaa sio laini...hebu wakuu mtuelezee kidogo tujuee😄😄Taco mchongo liko kama furushi ngumuu, hata likitikisika linakakamaa lote