Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,191
- 69,712
Mambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa TeleWote wakubwa waliokuwa wanaumwa nilitumia dawa mlizonishauri wamepona!Asanteni Sana!
Mambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa TeleWote wakubwa waliokuwa wanaumwa nilitumia dawa mlizonishauri wamepona!Asanteni Sana!
Hapana,kuna kosa nililifanya vifaranga wa bata wakafa wote,awamu hii nimejifunza siwezi kukosea tenaMambo Mazuri Kwahiyo Boma Lako Limejaa Tele
Mimi Nategemea Mwezi Aprili Mayai Ya Goose Na Pekin Yataanguliwa Nitapata Vifaranga Vingi Nipe Mawili, Matatu Ya Kuvilea VisifeHapana,kuna kosa nililifanya vifaranga wa bata wakafa wote,awamu hii nimejifunza siwezi kukosea tena