Vilabu?Nenda Rode mkabala na Ubungo ya Singida kuna vilabu vingi sana
Puma kijijini kuna bata gani mkuu😄Puma.
😅😅😅 Kwa kiswahili Club ni nini MadVilabu?
Inaitwa Rode hii ina indoor club pia, ipo ubungo pale wanachoma choma nyama sanaa makuku mengi hapalali paleNitajie kimoja wapo ambacho ni maarufu sana
Zipo bana, nilikuwa mbishi kama wewe hadi nilivyopelekwa shida mkifika miji ya watu mnajifungia hamna wenyeji wajanja mpo kama mabataHakuna hata sehem ya kjanja Bora ukajifungie chumban
Shukran sana mkuu jmosi nitafika maeneo hayoInaitwa Rode hii ina indoor club pia, ipo ubungo pale wanachoma choma nyama sanaa makuku mengi hapalali pale
Na kuna Narina Empire iko mitaa ya Tanesco pale ni padogo ila totoz za Singida zinahudhuria
Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja
Natanguliza shukran.
Puma si bora ya Ikungi, aende tu singida mjini..Toa neno mkuu