Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,703
- 19,589
Sina picha ya kuambatanisha lakini kupitia maelezo mtapata picha kamili ya ugonjwa wa kuku wangu.
Iko ivi,mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, kuku wangu wadogo kama wa miezi mitatu minne hivi wamevimba koromeo, yaani kumetokea uvimbe umening'inia, sio mgumu ni laini umening'inia kiasi kwamba wakati wa kudonoa chini unagusa,
Wataalamu wa mifugo nini hiyo na ni tumie dawa gani kuwatibu?