Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

Katika vita hicho kibastola hakiwezi kumsaidia, vita ni mbinu - ambazo hana.
 
polisi hawatakiwi kufungamana na chama chochote cha siasa lakini polisi wa tanzania ni tofauti kabisa maanake wanajionyesha rasmi wao ni CCM sasa sijui chadema wakichukua nchi hao polisi watafanya nini....!!!
 
tatizo ka Rage ni ushamba na wala hakuwa na nia mbaya yeye alifikiri kuonyesha silaha hadharani ni sifa
 
Unapokuwa mwanachama wa ccm uwezo wa kufikiri unapungua.
 
natamani hiyo bastola ipatikane na kosa la uhalifu...

WATAPOTEZEA HAWA CCM.na inawezekana ni boshen tu haina hata risasi.angekuja nayo mjini aone watoto wa kihuni wangemfanyaje sa ye anaenda kuringanayo tanzania vijijini,chizi tuu huyo
 
WATAPOTEZEA HAWA CCM.na inawezekana ni boshen tu haina hata risasi.angekuja nayo mjini aone watoto wa kihuni wangemfanyaje sa ye anaenda kuringanayo tanzania vijijini,chizi tuu huyo

duhu! Ingekua sio ban najua ungetaja yasiyotajika
 
mmempa ubunge al-shabaab mnategemea nini?na bado siku akimtengua mtu kiuno ndio mtajua tumeingiliwa
 
tatizo ka Rage ni ushamba na wala hakuwa na nia mbaya yeye alifikiri kuonyesha silaha hadharani ni sifa
Usichukulie kirahisi hivyo! Hili ni tusi kwa wapenda amani wote... Kitendo hiki siamini kinapita bila kukemewa na wanachama wa CCM...vingenevyo sijui tuko wapi
 
Usichukulie kirahisi hivyo! Hili ni tusi kwa wapenda amani wote... Kitendo hiki siamini kinapita bila kukemewa na wanachama wa CCM...vingenevyo sijui tuko wapi
Natumaini wakati huu ninapopost kwenye huu uzi atakua ameshanyang'anywa hiyo silaha.
 
jaman kama ni maadili inamaana rage awez kuchukuliwa hatua yeyote? Kwa sababu naona siyo sheria ila ni maadili jamani niwekeni sawa hapo
 
jaman kama ni maadili inamaana rage awez kuchukuliwa hatua yeyote? Kwa sababu naona siyo sheria ila ni maadili jamani niwekeni sawa hapo

Ili mchezo uwe sawa mwambieni zitto na lema nao waende na slaa zao kwenye kampeni ili muache kulalamika
 
al shababu si dhaifu kama huyo rage wao ni wanaume wa shika ambao america wana hara mavi ya chokaa
 
Ili mchezo uwe sawa mwambieni zitto na lema nao waende na slaa zao kwenye kampeni ili muache kulalamika

unasema waache kulala mika? Wendo unaona wanalalamika, nawewe ni walewale- ooh...,wana jf, kuna free mason humundani, 2takupigia ukunga hapa sio sudan, koma sawa???
 
wasomali ndio zao, mimi simshangai kutembea na bunduki, hao si ndio wale maharamia.
 
Back
Top Bottom