Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

Anamsaka aliyemfunga ili ammalize, hapo imekaaje wa chamachetu.
 
Kuna picha kadhaa nlizoziona mtandaoni zinazoonyesha jinsi gani kampeni zinavyoendelea huko igunga, mbaya zaidi picha hizi zinaonyesha baadhi ya washiriki wakiwa na silaha!! Katiba yetu japo imepitwa na wakati inasemaje? je vyombo vya usalama havipo? mbona watu wa namna hii hawachukuliwi hatua??? imenitisha!!:fencing:
 
Uchunguzi wa maafisa wa Vuai Nahodha kuhusu Rage na bastola kwenye mkutano wa siasa umeishia wapi?
 
Nchi ya kihuni kwa sababu viongozi pia ni wahuni kwani wanapandikiza udini kwa maslahi ya matumbo yao...........watz wakianza kupigana wao na familia zao wanakimbilia nje..............mfano kikwete pamoja na kupalilia sana udini lakini vita ikitokea hutasikia yeye pamoja na ukanali wake akiwa kwenye mstali wa mbele wa mapiganao wala hutasikia kamwambia mtoto wake rziwani aende vitani................huu ndiyo ujinga wetu waafirca kukubali kutumiwa km vile ccm na kikwete wanavyoutumia uislamu watakavyo..............
 
Kwa wakati huu ambapo Wa-Tanzania Wana-Igunga wanaelekea kwenye kujiamulia hatima ya jimbo lao na uongozi wake mpya, je tutarajie idadi gani ya BASTOLA na silaha nyinginezo zitakazodandia kwenye viuno vya ma-kada wa vyama mbali mbali kiunoni, katika mazingira ya uchaguzi kama ambavyo chombo kama hicho kisichozoeleka wachoni mwetu sie Wa-Matumbi (ila kwa Wa-Somali ni kama Ndugu zetu Wa-Maasai na Sime tu) sawa na Ade Rage alivyojikuta kuparamiwa ghafla na hilo lipaja la kuku jukwaani????????????????


rage.jpg


Nimeshtushwa na picha iliyopo kwenye ukurasa wa mbele wa moja ya magazeti ya leo. Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden Rage anapanda jukwaani na Libastola kiunoni.

Mungu amejibu swali gumu ni nani anaeleta vurugu kwenye kampeni za Igunga? Bastola ya nini kwenye mikutano wakati kuna wanausalama weengi hivyo?

CCM NI HATARI JAMANI NI KIFO..
 
Back
Top Bottom