Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

Nilikuwa nataka kumwaga hiyo sheria hapa jukwaani, ila umeniwahi.
He can be sued...the evidence is right there.

Kwa kuwa ni wa kwao, basi mtaona kamchezo katakavyochezwa na hatafanywa chochote, hivi kwa picha hiyo hilo mbona ni tukio la kupangwa kabisa, na hao wenzie hawaijui hiyo sheria hata wasimkataze? Asili za watu hizi, mbona mwenye macho kweli haambiwi ona!
 
Hiyo siyo binduki, ni kasha la funguo
 
Hizo ni sifa za kijinga! Huyu baba amejidhalilisha hajui tu. Kila mtu akiamua kuonyesha bastola yake Tz hapatatosha jamani.
 
Hapa alikuwa anawatisha Vijana wavunja amani na waleta vurugu nchini wa Chadema. Kwenye huo mkutano..walinyweaaa!
 
alikua dar nini? Huko ndiko walipo waoga, sehem nyingine angeondoka jukwaani mweupe.
 
mmmmh! mwenye masikioo haambiwi sikia!,
sasa hawa wazembe wanadhani bastola itamzuia mtu kutafuta haki yake?
nawaki,isha.
 
Kitimoto live hapo kimefikiria kweli kweli.....!
Narudia tena..unadhalilisha hiyo dini yako kwa hizi comment zako za kipuuzi! Ulishawahi kuona wapi mchungaji mwenye domo chafu kama lako? Jiheshim na utaheshimika
 
Low level of thinking capacity,hapo alikuwa ana fanya kitu kama cha kuwatisha watu kwamba hata yeye ana bastola na anataka amake headlines ya magazeti ya bongo...kudadekiiiiiii zakeeeeee
 
Narudia tena..unadhalilisha hiyo dini yako kwa hizi comment zako za kipuuzi! Ulishawahi kuona wapi mchungaji mwenye domo chafu kama lako? Jiheshim na utaheshimika

Hivi wewe unatofauti gani na huyu Mnayama Kitimoto! On a serious note mimi siioni....hujawahi andika chenye maana zaidi ya kamasi
 
kUWA NA BASTOLA HAIMAANISHI UKO FITI WENGI WANAZO LAKINI WANAJIHESHIM NA WANAZIIFADHI VIZURI HII SIO NAMNA YA KUIFADHI SILAHA KWANZA NI HATARI SANA KWA RAGE KUWEKA SILAHA STAILI ILE, NI HATARI KWAKE......WALA SI SALAMA KWAKE...
Mabaunsa wasogee sasa!! Rage ni mtoto wa SAIGON sasa anafanya advertise ili kama kuna baunsa alikuwa anataka kusogea hapo ajue kwamba jamaa yupo fit.
 
Hivi wewe unatofauti gani na huyu Mnayama Kitimoto! On a serious note mimi siioni....hujawahi andika chenye maana zaidi ya kamasi
Hahahahahahahahahahahhahahahah
Teheehteh
Kwi kwi kwi kwi kwi
Kweli nimeamini wewe ni kilaza!
 
Hawa jamaa wa sisiem maji yako shingoni msishangae wakianza kupanda wakiwa nanguo za kijeshi.
 
Hawa jamaa wa sisiem maji yako shingoni msishangae wakianza kupanda wakiwa na nguo za kijeshi.
 
ndo mambo ya kuwapa uraia Wasomali watakuja kutuharibia amani yetu hao huyo aden rage nae ni msomali wana asili ya vitavita kwao
 
Back
Top Bottom