Bastola ya Aden Rage na CCM

Bastola ya Aden Rage na CCM

Mbona hapo wewe ndio tunakuona kilaza, huna jipya bora hata umebatizwa jina la kitimoto maana unaendana nalo sana...well done kitimoto


Hahahahahahahahahahahhahahahah
Teheehteh
Kwi kwi kwi kwi kwi
Kweli nimeamini wewe ni kilaza!
 
Jamani kumbe ushamba hauna umri au U-Somalia ndani ya; yaani huyu Al-Shaabab kadiriki kuonyesha advertise ya kumiliki bunduki kwenye jukwaa la kunadi chama akipendacho na watu wakamuacha hivi hivi!!!!!!!!!!!!
anafikiri yupo kule kwa al shabab , wakati yeye kesha kuwa mbongo, huku silaha ni mbali mbali na maisha yetu ya kila siku
 
Siasa ni mchezo mchafu'' jamani tujihadharini na hizi siasa za majitaka zitatufikisha pabaya ''''''huku tunakoelekea sijui'''
 
Siasa ni mchezo mchafu'' jamani tujihadharini na hizi siasa za majitaka zitatufikisha pabaya ''''''huku tunakoelekea sijui'''
 
kipi nisichokijua?? kuwa unafana na kitimoto au kuwa una pua ka kitimoto? wacha kunitisha wewe kawatishe wenzio facebook
Watoto utawajua tu..comments zao zinaonekana!
Let's get back kwa Aden Rage
 
Jamani RAGE ulidhani upo LIBYA....SHAME ON U and CCM as well..............................................
 
Gaidi Aden Rage aka Farrah Aidid aanze mawasiliano na ndugu zake huko Somalia, safari ya kurudi kwao imewadia.
 
jamani piganipige mradi mtu aende bungeni japo hatuna hakika kwa maslahi ya nani?
 
Hii inajionesha dhahiri ni kiasi gani hawa Magambaz wasivyojiamini.
 
Manyox zao walitaka kuleta ushoga wa Arusha kwa Wanyamwezi, sasa waambieni hao nguvu ya umma wamguse Rage awamwage ubongo.
 
Hivi hatua ya Rage ya kupanda jukwaani na bastola tena kuiacha wazi inaonekana ilikuwa yamaanisha nini?
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]
[/TD]
[TD="class: buttonheading, align: right"] Send to a friend [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
07ragekam.jpg



[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



Hana imani na jeshi la Police na Usalama wa Taifa ndio maana yake.
 
Manyox zao walitaka kuleta ushoga wa Arusha kwa Wanyamwezi, sasa waambieni hao nguvu ya umma wamguse Rage awamwage ubongo.

Nduka unacho kibali cha kutumia picha ya Mzee wetu Kingunge kama avatar yako?
 
Manyox zao walitaka kuleta ushoga wa Arusha kwa Wanyamwezi, sasa waambieni hao nguvu ya umma wamguse Rage awamwage ubongo.
Ammwage ubongo nani wewe? mkwara wa kuning'iniza bastola nje ni wa kizamani sana. Kiufupi Rage pamoja na kuwa mwenyekiti wa Club yangu hapa kaonyesha UJUHA wa hali ya juu hata kule Msimbazi sidhani kama kile cheo kinamfaa tena mtu huyu juha.
 
anajua huko kwenye asili yake (solamia) afaulue hupewa zawadi ya AK - 47. no wonder nae alishaipata hiyo zawadi ndo maana anayo kila mahali mpaka kwenye mikutano ya amani ya watanganyika! hawa ndo wenye ccm...any time wataturipua
 
Back
Top Bottom