Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Silaha ya pili kwani unataka kuvamia kambi ya jeshi?
Hapana nimekosea tu makusudio ni kuibadilisha ya sasa.kwa sababu hizi silaha unajua kuna baada ya muda fulani zinakuwa kama zinahitaji update unaipeleka ya zamani unanua ya kisasa,kwa mfano kuna zile ambazo inaweza kujilinda kwa kuua watu 5 kwa dakika moja na ile watu 3 kwa dakika moja .inategemea na mfuko wako tu.ila ni hizi ndogo ndogo na siyo za kuvamia.ukitaka za kivita hizo nenda mpakani labda utapata zile miili 20 kwa dakika na kuendelea ila ni kinyume cha sheria kwa sisi nchi yetu.
 
Mawazo hasi ya mwanadamu,hata ufanyaje futi 6 ni mali yako, kujimwambafai kwa mwanadamu ni kwa kipindi. Nunua hata maguruneti MUNGU akikuhitaji ubishi hakuna. Wacheni mawazo ya watu 5 mara 3 ni mawazo mabaya.
 
Basi yangu ilikuwa na bahati.. Nilinunua mtumba South na nikakaa nayo miaka mitatu bila kujeruhi mtu.. Niliuza nilipokuwa narudi bongo

Mshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo , lengo la silaha ni kujipatia ulinzi ingawa imekuwa ikitumika vinginevyo ( Kutumika katika uporaji, visasi ama kutumika tofauti na makusudio haya kutokana na akili ya mtu kwa wakati huo) Mtu anaweza kumiliki silaha ndiyo lakini asikutane na changamoto ya yeye kuitumia kuumiza (hapa naongelea ulinzi wa mmiliki).

Vile vile kuna watu wana mihemko na hasira za ajabu kiasi cha kushindwa kuzicontrol hao ndo wakimiliki silaha wanasababisha majonzi katika jamii.
 
Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new!
Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama kanunua mpya na yeye ndio mtumiaji wa kwanza basi kama sio silaha yenyewe basi pesa iliyotumika haikuwa na baraka.. Ilikuwa na mazonge..Na tayari silaha husika imeshaingia kwenye ulimwengu hasi
Kimsingi hakuna kesi tena ...! Muuaji naye kajimaliza.. Jalada litafunguliwa kisha baada ya muda litafungwa! Hakuna mshtakiwa...kidhibiti kinaweza kuwa huru na kuingizwa kwenye mirathi ama vinginevyo
Kama kitaingizwa kwenye mirathi kitakuja kuuzwa kama mali za marehemu .. Silaha hairithishwi.. Mnunuzi anaweza kutafutwa na ndugu na itauzwa kupitia jeshi la polisi na kitakachopatikana atakabidhiwa msimamizi wa mirathi

Silaha iliyoondoa uhai wa mtu hasa at close range ni dili sana kwa majambazi na wezi wanaotumia silaha kupora ama wauaji wa kukodishwa! Hiyo tayari ina damu kubwa hivyo kafara lake ni rahisi.. Silaha iliyouwa maranyingi zaidi kishirikina ina thamani kubwa zaidi kuliko ile ambayo haijawahi kuondoka na roho hata moja! Hivyo hii silaha ya Sinza inaweza kuwindwa na watu wabaya...!

Kwa upande mwingine ile silaha inawezekana kabida ina nuksi, laana ama imebeba maagano mabaya hasa kama ilikuwa mtumba...! Kuna vitu ni mali ya kuzimu na kazi yake ni kuharibu na kuumiza tuu..Ndio maana kuna watu hawapendi kabisa kununua vitu mtumba..vingi vimebeba nuksi laana na maagano kama nilivyosema hapo juu..!

Tukio limeshatokea na kuzua mijadala mingi mitandaoni.. Pengine kuna watu watawajibishwa hasa kama utaratibu wa kummilikisha mhusika silaha haukufuatwa inavyotakikana
Niandikapo haya kuna familia mbili ziko kwenye msiba mzito.. Wa kuondokewa na baba, kaka mume nknk.. Tayari kuna maisha mapya wanaenda kuyaanza bila mhimili wa familia.. Ni hali ngumu sana..
Haya yote yatasahaulika baada ya muda.. Na itafika mahali kama silaha husika haitateketezwa na jeshi la polisi basi itaingizwa kwenye mirathi na kuuzwa kwa mwingine...

Kuna maroho na mapepo ya kuzimu yapo duniani kuharibu na kutesa na hujipenyeza kwenye vitu na watu... Haya mavitu ya mtumba tunayotumia hatujui huko nyuma yalipitia mikono gani na yalinenewa nini.. Kuna baadhi vimebeba mapepo mapepo na maroho mabaya
Kuna baadhi vimelaaniwa na wamiliki wa kwanza au wa pili nk
Kuna baadhi vimenenewa vibaya
Kuna baadhi vimetumika kwenye madhabahu za kishirikina
Jitahidi unapopata kitu cha mtumba kitakase kwa imani yako

Nimeandika mada hii kwa mtazamo wa kiroho.. Wanaoona ni tukio la kawaida wasione ni kituko kuwaza tofauti na wao..!
View attachment 1858067
Duh mshana Jr nawe

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
hapo uliposema "kuna maisha mapya...yani wake za marehemu, dah washakuwa wajane, mama kapoteza mtoto, mke kapoteza mume.inauma sana,
 
Kama huyu eti
Baadhi wataelewa lakini
IMG_1739.jpg
 
Hii hapa video akifundishwa shabaha.
 
Back
Top Bottom