Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Saratoga line ya huko kigoma
HaMbeya express
Mwanza-mbeya please Hilo basi ukiliona toroka kabisa.
Nilitoka mwanza jumamosi jioni tukafika mbeya tena uyole jumanne asub
ha haaa. Hili lina mlango wa katikati sio mkuu?.Kuna basi la Mwanza ~ Mbeya (jina kapuni) nilikata ticket ya kukaa upande wa dirishani, siku ya safari nikakuta dirisha la kwenye siti yangu halina kioo...! Yani nilipigwa na upepo Mwanza hadi Iringa...! Ndo mtu akashuka. Sintakaa kusahau...Na konda anasema hajui maana walikuja na basi lingine jana yake wameliacha service wakachukua basi lingine ambalo lilikuwa safi na limesha fanyiwa service.
Ila pia kilicho ni shangaza kuhusu hili basi halikuwa na USB port bali socket kama za nyumbani
Unalijua basi la simba mtoto?Huko Magari yote mapyaa...mazuri na yana ustaarabu, hata Arusha - Dodoma...barabara ya Dar - Arusha ukiweka gari baya tu unatolewa kwenye route na magari makali
Nilitaka kushangaa mbona nasoma comments sioni anaeutaja huu mkweche, hili basi ni mateso mazitoIslam dar moro.......bus ubungo tumetoka 1 usiku moro tumefika asubuhi saa 3..sitakaa nisahau ilikua mwezi wa 12 ma bus shida
Huyo nadhani mgeni wa hizo route apo kuna simba mtoto na tayassar ni visanga na nusuKuna mabasi ya Kilimanjaro Express Arusha to Dar. Mabasi ya hovyo kabisa.
Mvua haikunyesha ukajua panapovujaJina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017
Itakuwa either Premier line, Fikoshi au Isamilo 😆Kuna basi la Mwanza ~ Mbeya (jina kapuni) nilikata ticket ya kukaa upande wa dirishani, siku ya safari nikakuta dirisha la kwenye siti yangu halina kioo...! Yani nilipigwa na upepo Mwanza hadi Iringa...! Ndo mtu akashuka. Sintakaa kusahau...Na konda anasema hajui maana walikuja na basi lingine jana yake wameliacha service wakachukua basi lingine ambalo lilikuwa safi na limesha fanyiwa service.
Ila pia kilicho ni shangaza kuhusu hili basi halikuwa na USB port bali socket kama za nyumbani
uhovyo wake ni nini?,funguka tushawishikeKATARAMA sitapanda tena yale mabasi ya hovyo sana
Bora nisafiri na ALLY'S
BalaaLilikuea linanyata mkuu?.
Ha ha haa
Hii gari ilikua konyoo🤣🤣🤣umenikumbusha,Kuna rafikiangu alikuwa ndo anapanda hiyo gari unakuta stendi wanapakiza mbuzi humohumo aisee tulikuwa tunamcheka sana
Hapo labda walikuwepo kina Malaria 2 kalemauji Webabu Accumen Mo FaizaFoxy et alBwana kuna chuma kinaitwa upendo
Coach
Sijui mmiliki ni msabato siku hiyo dereva na konda wake wakajichanganya wakapiga tukwaya twao kumbe wazee wa kobasi wapo inside the building
Nnachowapendea wana maamuzi magumu wakagombana na dereva na konda mmoja wao akatoa flash akapachika kwenye basi
Tena na basi lilikua bovu mwendo wa kobe ilikua ni mwendo wa kaswida mkipumzika ni mawaidha mkisimama kaswida mkichuchumaa mawaidha mpaka tunafika
Mpaka leo hii mtaani nabishana na watu baadhi ya mafundisho yao kumbe ABC za wazee nilizipata kwenye safari moja tu😂