Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

Basi gani la mkoani ulipanda ukajutia?

Kuna hizi chuma:
1. Osaka - Dar Bukoba
2. Fikoshi- Mwanza Mbeya
Route zenyewe dume masaa zaidi ya 24 mpo barabarani na bus zenyewe dume, unafika umechoka mwili, akili na roho.
 
Back
Top Bottom