Super Feo Mwanza - Songea niliagiza mzigo wangu kutoka mwanza ukapotelea ofisini siku umefika tuu, walizungusha sana mpaka wamekuja kunilipa.Super FEO ..SONGEA-MOSHI
Islam nishawahi jichanganya piaIslam dar moro.......bus ubungo tumetoka 1 usiku moro tumefika asubuhi saa 3..sitakaa nisahau ilikua mwezi wa 12 ma bus shida
Osaka rahaJina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017
Sio lile lenye mlango kati kati kwelHawa jamaa wana ngarangara lao moja sijui kama bado lipo, kwanza linatisha balaa ukiliangalia tuu unaweza ukakimbia.

lile gari ni baya kuanzia njee hadi ndaniLitakua ndio hilo hiloo.. limechoka hatari🤣🤣 Cha ajabu jamaa huwa wanawakatisha nauli za luxury halafu asubuhi wanalileta hilo trektaSio lile lenye mlango kati kati kwellile gari ni baya kuanzia njee hadi ndani
Kwanza jina lenyewe kama Ng'ombe au mbuzi anajamba😂😂Lakrome.
Ukisikia Humuu tu Humuu tu!!😂😂😂Zakaria Trans,Mwanza -Tarime.Bus lilikuwa poa tu ila ngumi sasa.1.Dereva v/s konda 2.Konda v/s abiria 3.Abiria v/s Dereva 4 .Konda na derevav/s abiria 5.Abiria v/s Abiria.Mwisho kabisa Sister wa Kikatoliki v/s Konda.
😂😂😂 hii kali ya mwaka!!Mbeya express
Mwanza-mbeya please Hilo basi ukiliona toroka kabisa.
Nilitoka mwanza jumamosi jioni tukafika mbeya tena uyole jumanne asubuhi.
😂😂😂 socket zinafanya kazi?Kuna basi la Mwanza ~ Mbeya (jina kapuni) nilikata ticket ya kukaa upande wa dirishani, siku ya safari nikakuta dirisha la kwenye siti yangu halina kioo...! Yani nilipigwa na upepo Mwanza hadi Iringa...! Ndo mtu akashuka. Sintakaa kusahau...Na konda anasema hajui maana walikuja na basi lingine jana yake wameliacha service wakachukua basi lingine ambalo lilikuwa safi na limesha fanyiwa service.
Ila pia kilicho ni shangaza kuhusu hili basi halikuwa na USB port bali socket kama za nyumbani
Esther pia?Esther, Kilimanjaro,bm,shabby najutia kuyapanda
Jehovah hili bus sitorudia kupanda tn sababu ya huduma zao mbovuNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
😂😂😂Zakaria Trans,Mwanza -Tarime.Bus lilikuwa poa tu ila ngumi sasa.1.Dereva v/s konda 2.Konda v/s abiria 3.Abiria v/s Dereva 4 .Konda na derevav/s abiria 5.Abiria v/s Abiria.Mwisho kabisa Sister wa Kikatoliki v/s Konda.
Sai Baba, nilikuwa natoka Arusha kwenda Dar. Usiku kabla ya safari nililala late sana, nikayachelewa mabasi ya mapema.Ni basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?