Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,211
- 22,897
Kwenye lango la kuingilia survery ile sehemu ya kukaguliwa na kuchukua ticket kulikuwa na mistari mitatu ya magari. Kulia, kati na kushoto. Gari zilikuwa nyingi kati na kushoto. Kama zimepanga foleni ya kupita vile vigeti vya ukaguzi na kukata ticket.
Kidogo nlishangaa why wameacha gari moja tu kulia wakajazana kati na kushoto. Nikaenda kulia. Yule jamaa anayekagua na kioo. Nikamwona anaruhusu gari saloon iliyokuwa mbele yangu kulia. Ilienda mbele kidogo ikatoa mkono kumpa pesa kama sikosei. Jamaa akakunja bila kutizama akaruhusu.
Ile gari ilikuwa mbele na imesogea sana kushoto kiasi ile sehemu ya kubonyeza ilikuwa mbali na pia kumbuka ni salon car.
Ukatoka mkono mrefu kwenda bonyeza ile sehemu itoe ticket na kuchukua ticket. Ule mkono ulikuwa mrefu sana kwa kweli. Kiasi nlipoenda mimi kufanya the same nliona kuwa kawaida mtu asingefikisha pale alipokuwepo yule dada. Tena akiwa kwenye salon car.
Akasogea mbele akaondoka. Sikumwona tena. Nimewaza sana. Nikahisi kulikuwa na kitu si cha kawaida kwa kweli. Inawezekana kabisa kuna viumbe vingine pale Mcity si binadamau. But kama alikuwa binadamu basi alikuwa na mikono mirefu sana yule dada. Hayo yametokea Jumamosi.