cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Ni hiyo Osaka Raha,Itakuwa Kapricon au Osaka Raha



.Sasa badala ya Raha ni mateso, khaaaah
Ni hiyo Osaka Raha,Itakuwa Kapricon au Osaka Raha



.Majinja enzi hizo from mbeya to dar aisee sitasahau. Mvua kubwa ilianza kunyesha morogoro mikumi pale gari zima linavuja abiria tunaloa hakuna pa kujificha Tunashuka ubungo pale watu tumeloa chapa watu wanatushangaa mpaka mabegi yameloa. Ni moja ya tukio baya nililowahi kumbana nalo maishani sitawasahau wale washenzi eti wanomba radhi aisee nilitamani nilipue lile bus





We nawe utakua ulipenda bei kitonga😂Nilikomaa, nilivyofikaa nilimchamba mwenyeji wangu!!
Nkamuambia afanye ahame kulee, bus lina kungunii lile sijawahi ona kabisaa wallah. Lol
Kampuni ishakufaHawa jamaa wana ngarangara lao moja sijui kama bado lipo, kwanza linatisha balaa ukiliangalia tuu unaweza ukakimbia.
Magari au gari? Mengine ni yapi? Na kama yapo ni machache sana tofauti na magari mazurimabasi mabovu yapo, na mfano ni saibaba
saibabaNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Siti zinaumiza mifupa ya kalio. Lazma uinuke ujinyooshe. Na siti zimebanwa.Dar to Mahenge,
Mlima Ndororo mnashuka abiria wotee, linapanda lenyewe tyuuh.
Fikoshi nimepanda juzi sina hamu nalo,nilitoka mwanza kwenda njombe nikashukia makambako, yaani sina hamu hata liwe limebaki peke yake duniani bora nikaahirisha safari nimekoma mno. Mbaya zaidi nilisafiri na watoto siti imeharibika unafanya kuinyanyia acha tuuBus ya kuitwa Shukurani Dar - Dom hata kama imebaki yenyewe sipandi.
Bus ya kuitwa Fikoshi sipandi bora niahirshe safari.
Mjukuu ulikwenda Musoma kufanya nini? Halafu ukanipita hapa Lamadi hata bila kunisalimia kha! Safari nyingine usifanye hivyo! Na pole kwa masaibu yaliyokupata!Jina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017
Ni basi gani kutoka Dar kwenda Musoma lenye unafuu? Na usije ukasema Happy Nation au Capricorn maana tutagombana sana!We nawe utakua ulipenda bei kitonga😂
Kwa hiyo route Premier ndio mbabe.Premier ya mwanza mbeya, ile takataka imesababisha niwe na kituo dodoma kama naenda mwanza. Napanda shabiby hadi dom nalala asubuhi napanda satco.
Hakuna bus route ya mbeya mwanza ni upupu mtupuKwa hiyo route Premier ndio mbabe.