Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Pasific Air bus 😂
Gari ina dereva tu haina kondakta.
Gari bovu matobo kila sehemu, tulikula vumbi kama tupo nje.
Pasific Air bus 😂
sasa mende na hao kunguni ni wa hao wenye basi au wameletwa na abiria wenzenu?Arizona coach hili bus la kigoma nilipanda wakat naenda tabora goma linakunguni wakutosha mende mchwa na siafu halafu nilisikia abiria seat za nyuma wakilalamika wenzao wameliwa na chatu konda wala hajali wala nini

Bora umeitaja, misiti mibovu yaani kila kitu kipo hovyoMghamba kutoka arusha kwenda mwanza ..hii gari kama punda
😂😂😂😂 aloooohPasific Air bus 😂
Gari ina dereva tu haina kondakta.
Gari mbovu matobo kila sehemu, tulikula vumbi kama tupo nje.
Hivi hujawahi libahatisha tena likipita hapo?alooooh
ChampionNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Nahis lilidondoka😂Hivi hujawahi libahatisha tena likipita hapo?
Yaan safari ya masaa 4 tulitumia masaa 8. Ukiwaona tena warushie mawe 😂Nahis lilidondoka😂
Yaan safari ya masaa 4 tulitumia masaa 8. Ukiwaona tena warushie mawe 😂
Siingilii ugomvi wa ndugu![]()

Pole snJina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017