Magari ya Mwanza to Mbeya miyeyusho sana.Niliwahi kupanda iringa - Mwanza gari ilkuwa fikoshi au premier(nimesahau).
Ila yote yalikuwa yanaongozana halafu yote miyeyusho.
Sitasahau, nilisimama kutokea iringa mpaka nimefika Singida ndio nikapata siti.
Nyie pandeni tup
panda hayo machungwa haina shida tuachie izo F360 zetu tena kuna irizar ipo tunduma
Huduma mbovuWalikufanyaje Mkuu? Elezea ili kama kunauwezekano wajirekebishe
Itakuwa Kapricon au Osaka RahaJina nimesahau ila ni route ya Dar to Musoma, jamanii lile bus ni chakavu afu lina kungunii balaaa. Asee niliteseka hatariii sirudii tenaa.
Ilikua 2017
🤣🤣🤣umenikumbusha,Kuna rafikiangu alikuwa ndo anapanda hiyo gari unakuta stendi wanapakiza mbuzi humohumo aisee tulikuwa tunamcheka sanaAlhushoom...
Aloo ile gari sijui kama bado ipo, dar iringa tulitumia masaa 13 badala ya 7
Mkuu huduma kama ipi?, satco toka dodoma hadi mwanza huwa nazitumia sana, mbona ziko vizuri tu.Kimotco, Kiazi kitamu, super feo, satco labda wanipandishe nikiwa maiti.( Huduma mbovu)
Bado lipo hili basiKuna chuma zinaitwa NGANGA
Njia nzima ngangarangangara kengele tu
kipindi hiko Igurusi igawilo vumbi
Ukifungua kioo vumbi ukifunga harufu ya mavi ya kuku
Daamn
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbavu zanguKuna basi nilipanda kutoka ifakara to Dodoma, aise gari ndani Lina mifugo mingi kuliko abiria, just imagine mtu anapanda ndan ya bus amebeba mbuzi na kuku ndan ya gari,,kilicho niboa zaid nimelala usingiz kuja kushtuka nashangaa mbuzi ananilamba nywele.
Hahaaaaaa, siku hizi hayapo.Kuna chuma zinaitwa NGANGA
Njia nzima ngangarangangara kengele tu
kipindi hiko Igurusi igawilo vumbi
Ukifungua kioo vumbi ukifunga harufu ya mavi ya kuku
Daamn
Lilikuea linanyata mkuu?.Alhushoom...
Aloo ile gari sijui kama bado ipo, dar iringa tulitumia masaa 13 badala ya 7