Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,928
- 6,467
Niligondua vijana wa Lumumba huku jukwaani akili zenu zoote zinaendeshwa na remote ya mahali fulani na humjui na wala hakuna mnachokiamini kama nyie na kukisimamia. Period!Wimbo ulifungiwa tanzania sio nje ya nchi.naibu kacheza akiwa nje ya nchi.sijaona kosa lake.