BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

Umevuta bangi gani?shenzi type eboooooh.
ila ukiiulizwa njee ya tanzania unampenda msanii gani utasema lily wyne ambae nyimbo zake zote ni matusi tu na ndio mnaongooza kwa kuangalia station za X dstv...tusidanhanyane watzania
 
2015,walitumika kama platform kukusanyia watu kwenye kampen ,BASATA waimbe 2020
 
Back
Top Bottom