BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

Technical language..... muda usiojulikana... ni room kwa ajili ya mazungumzo na kiafrika ni kukata fungu. Hata wiki 1 ni muda usiojulikana.
 
record zinaonyesha hakuna mwanamziki yoyote wa kitz aliyehamia kenya akafanikiwa.

rejea taarifa mbalimbali kuhusu mwanamziki mr. nice na rose muhando. kumbuka hawa wote walihamishia makazi yao ya kudumu nchini kenya.wako wapi hivi sasa kimuziki. ukipata jibu tafakari.

kama diamond anataka kushuka kimziki ghafla na kupotea katika ramani afate ushauri wako.
Waliohamia wote walikuwa washapoteza
 
Sasa unataka Diamond aendelee kutukana tu kwenye nyimbo zake na apuuze agizo la BASATA na aachwe tu??..Who do you this Diamond is??

Marekani huko wasanii wakubwa tu wakivunja sheria wanatiwa ndani,bongo mnataka mtu akiwa tu maarufu afanye alitakalo
Tutaje makosa yapi wanayofanya kulinganisha na huu upuuzi wa basata
 
Laana ya Baba yake imeanza kumwijia taratibu, ww mzazi wako anaumwa tena ni mwanaume mwenzio lkn kijana umeota mapembe kana kwamba mungu umesoma nae comes around goes around
Angalia wewe hakuna laana ya aliyelaaniwa na Mungu inamfikia mtu,mwanaume anayetelekeza familia ana laana ya Mungu
 
Sote tumeona kwenye mitandao ya kijamii clip inayomuonesha naibu spika Tulia alipokuwa Uganda kwenye michezo ya wabunge akiselebuka mziki wa Diamond uliofungiwa na Basata Mara baada ya kuibuka washindi jumla ktk michezo hiyo.

Yeye kama kiongozi wa watunga sheria alipaswa kuwa mfano ktk kuzitii sheria anazozitunga badala ya kuzivunja.

Sasa kama naibu spika ameucheza wimbo uliofungiwa hadharani, iweje iwe kosa kwa mwenye wimbo kufanya hivo?

Hatua gani zimechukuliwa dhidi yake?

Ingekuwa Ulaya hivi sasa angekuwa anamenya ndizi huko kwao Tukuyu na unaibu spika anausikia kwenye redio tu.
Kumbe ilikua ni Uganda
 
Dogo anadharau... uccm wake, ushosti wake na shoga yake DAB unamtia kiburi.
Ni mapichaX2 tu hakuna aliyefungiwa hapo.
 
BASATA wanauwa muziki hawajui ni kiasi gani watu wame-invest majasho yao, fedha zao na roho zao mpaka wanauona muziki wa bongo flava umefika hapa ulipo.
.
Natabiri viongozi wa BASATA kuvuliwa nyadhifa zao muda sio mrefu ndipo wataijua nguvu ya JK.
 
Ila kwa mtu mwenye mtoto au mlezi Siku ukikuta mtoto wako au wajirani anaimba huo wimbo Ndo Utaona umuhimu wa kumfungia diamond na wasanii Kama yeye wanaoimba nyimbo za namna hiyo. Siku hizi watoto under 10 ndo waimbaji wakubwa wa Hizo nyimbo mtaani. Kwa manufaa ya kizazi kijacho maamuzi Kama hayo nayaunga mkono
 
Acheni mihemuko, hayo ni maamuzi, aende mahakamani aka challenge. Aende kwa wakili wake na fidia juu atapata
 
Back
Top Bottom