BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

hao basata wataaibika
huwezi kumfungia diamond kwasababu hakuna atakayeimba tena
 
Hiyo ya kumfungia nchi za nje inashangaza kusema kweli na sidhani kama wana mamlaka hayo zaidi ya kutaka kumkomoa tu. Hivi akifanya tamasha nchi za nje watamfanya nini? Kumpandisha kizimbani kwa sheria ipi!?
Kwani Vikao vya ndani ya vyama vya siasa kama Chadema inazuiliwa kwa Sheria ipi??? serikali ikiamua haishindwi kitu hasa ya Jiwee...
 
Wala sina wasiwasi nao mtawazungumzia vp basata mjue wapo wasipofanya hivyo muda usiojulikana hata hata kesho pia ni hiyo siku tajwa.
 
Wacha tukae kimya tu. Diamond msanii mwenzie alipotekwa yeye aliamua kukaa kimya akajua hayamhusu. Akaimba wimbo wa bola akae kimya. Sasa yamekufika!!
 
Back
Top Bottom