BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

Wimbo ulifungiwa tanzania sio nje ya nchi.naibu kacheza akiwa nje ya nchi.sijaona kosa lake.
Niligondua vijana wa Lumumba huku jukwaani akili zenu zoote zinaendeshwa na remote ya mahali fulani na humjui na wala hakuna mnachokiamini kama nyie na kukisimamia. Period!
 
BASATA wanauwa muziki hawajui ni kiasi gani watu wame-invest majasho yao, fedha zao na roho zao mpaka wanauona muziki wa bongo flava umefika hapa ulipo.
.
Natabiri viongozi wa BASATA kuvuliwa nyadhifa zao muda sio mrefu ndipo wataijua nguvu ya JK.
Kuwekeza fedha zao nyingi hakuwapi uhalali wa kuvunja taratibu, kanuni na sheria za nchi
 
Ikumbukwe kati ya wasanii walioshiriki kumuingiza Jiwe Magogoni ni Diamond Platnumz, Simba, Chibu D Chibu Dee ama Dangote. Kwa kutumia kipawa chake cha kuimba alilisifu Jiwe kwa nyimbo na mapambio hadi likaibuka mshindi.

Siku chache baada ya uchaguzi, Tundu Lissu alikuja na ile nadharia ya Dikteta Uchwara. Katika kipindi hiki ni wachache tu walimuelewa Lissu, lakini sasa asilimia nyingi ya watanzania zaidi hata ya takwimu za TWAWEZA wanakubaliaba na hili.

Tutakubaliana kuwa siku Lissu alilitangaza jiwe kuwa ni rais wa ajabu alisherehesha na maneno ya Mchungaji wa kale wa Ujerumani, Martin Niemoller kuwa utawala zandiki humfikia kila mmoja kwa wakati wake ni vyema kuungana na kuukabili mapema kabla haujaota mizizi.

Leo mjana Diamond na Rayvanny wamefungiwa kushiriki sanaa kwa mida usiojulikana. Ni pigo kwao, ni pigo kwa familia, ni pigo kwa sanaaa na pia ni pigo kwa uchumi unaozidi kudoroa wa taifa. Poleni sana wasafi.

Lakini ni sharti tujue kuwa Ujerumani ya kale na Tanzania ya leo ni sawa. TUUNGANE SASA.
 
wabongo tunachuki sn hasa mtu anapofanikiwa hii c kwa mond tu hata ww ukitusua itakuja kukutokea maana hii tabia naichukia sn, Mond amehangaika sn mpaka kufika hapa alipofika na anapambana na wengi sn wanaotaman wamshushe lait wangejua kabla atakuja kufanikiwa hv, cjui hata hiyo kamwambie kama angerekodi.., hakuna ambaye hatendi makosa au kurudia kosa ambalo amekatazwa, Mond watu wanakuchukia sn kwa mafanikio yako, hawapendi hata uvute pumzi hii, pole kaka wabongo unatujua vzr tu
 
Kesema msimsumbue anaweza hama nchi. Ila huu wimbo wa nyege - nyegezi mtamu Sana wanamuonea bure mond
 
Wataisoma namba ulitungwa na nani, maana haka kawimbo kanapendwa sana.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom