Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

Mzee Game
No country for oldmen, nadhani hiyo movie Mzee Kingunge ataipenda sana!

I am sure akifika ile scene jamaa anatoa kifuniko cha gesi itakuwa ndio mwisho wa kutazam hiyo movie

I dont see anything new majina ni yale yale, serikali bado kubwa

Aaaahhh aaaahhaa aaaahhhaa. Sometime Mh. Kikwete anatakiwa awe serious. Sasa kumrudisha mtu kama Chenge kwenye baraza hilo ina maana hakukuwa na watu wengine ambao wana-fit hiyo nafasi? Si huyu ametajwa kwenye baadhi ya scandal tena anarudi. Aliwahi kumtishia Mh. Slaa kuwa angekwenda mahakamani kwa kumzulia ufisadi na hadi mwaka kesho hataenda kufungua hayo mashitaka. Hapa kuna kitu JK anajaribu kufunika au..........??? Au ndiyo fadhila yenyewe ya SISIEM.
U know what, ngoma mdundo..... Tutaendelea kuwaumbua tu na ufisadi wao. Naamini kama JK hataki kumuweka kando huyo Chenge basi JF kwa kushirikiana na wenye uchungu na nchi watamuondoa kama walivyoondoka wenzake. Eti Nchimbi naibu wa Wizara ya Ulinzi, mmmh ndo fadhila hizo JK hakuna anayeshangaa lakini angalia sana Mheshimiwa sana maana mabomu yatazidi kuja. Ukiendekeza ushikaji mwaka 2010 utauona mgumu sana. Mmmh labda kutakuwa na mabadiliko mengine hivi karibuni, WHO KNOWS!!
 
Ni kweli kabisa maaana hata mimi nilipoona Ardhi niliogopa sana MAGUFULI pekee ndo anapopaweza.... sasa nyamagana imeshauzwa

Achana na imani za kizamani anapaweza sana maana yake nini? Magufuli ni dume la mbegu popote akiweka anachapa kazi kama kawa. Bora alivyoondoka Ardhi walitaka kumuua kwa mapresha kila siku wanazua balaa. Huyo ajae nae mwache naye aonje joto ya jiwe la Ardhi.

Huyu magufuli si chapa ng'ombe? Huko Mifugo kunamfaa haswa
 
Watanzania bwana !!!!!!!!!!!!.

Wakati wa kipindi cha Mkapa, Magufuli alikuwa wizara ya Ujenzi. JK alipomchagua kuwa wizara ya Ardhi watu walilalamika kuwa angebaki ujenzi. Alipofika wizara ya ardhi na kuonyesha uwezo wake, watu hamtaki aondoke na kwenda wizara nyingine. Kinachotakiwa ni kila mtu katika nafasi yake afanye juhudi za kufanya kazi kama Magufuli.

Ukitaka kujua ni kwanini watu wanaquestion, angalia perfomance ya wizara ya ujenzi tangu magufuli aondoke, na baada ya muda mfupi uangalie tena wizara ya Ardhi itakavyokuwa, the qustion is, kama aliiweza ya ujenzi kwanini ahamishwe? Kama ya Ardhi ameiweza kwanini anahamishwa? What about Membe ina maana yeye ndiye ameiweza zaidi wizara ya mambo ya nje?
 
Nadhani kutakuwa na reshuffle nyingine baada ya BOT report kujadiliwa bungeni, looks like this is a makeshift cabinet!
 
Msolla ni Prof wa Kilimo..asipoweza kutumia akili yake hapo sasa basi sijui watanzania tumfanye nini..!!

Msolla ni Prof. wa Mifugo (Vet), Mathayo Dr. wa Mifugo (Vet). Wote watendaji wabovu na wababaishaji kwenye wizara mmoja. Wangepelekwa mifugo wakachunge ng'ombe!!!!
 
1. Mimi niliyefurahia ni Mwinyi...kuwa Waziri kamili, ni Waziri kijana Makini na ana Mawazo mapya! Yawezekana ndo anaandaliwa kupewa nafasi kubwa zadi!

2. Naomba kuuliza- Wizara Elimu ya Juu imekuwa merged na Elimu ya Msingi? Au Sayansi na Technilogia? Uratibu ya Elimu ya Juu Vipi? Nani atasimamia Bodi ya Mikopo? Hivi ni kweli Msolwa ameondolewa?
 
kweli wabunge wa ccm hamna kitu....kiasi cha kuwa JK anapata tabu ya kuchagua watendaji na anatufanyia recycle za pale kwa pale kila siku

Ukiona karudi yale yal makapi ujue hao ndo chongo na waliobaki ni vipofu
 
Nafikiri JK mwanzoni aliposema kwamba kuna wazee amewakuta, alimaanisha kuwa pamoja na wale walioomba kuondoka (Kingunge et al) kuna wengine ambao pamoja na kwamba watu hawawataki hana jinsi inabidi wawepo kama vile Mh. Chenge.

Lakini wakijua hilo nafikiri iwe changamoto kwao ktk kufanya kazi wasimtie aibu mkuu wa kaya.

Nashukuru kwa kutoingiza wapiganaji wetu hili waendelee kurusha makombora kama vile Mh. Kilango(Mama huyu ni tegemeo la taifa) , wengine ni mwakyembe tunamtegemea.

Na pia kutoweka wapinzani akina Zitto, Slaa na wengine maana ungelikuwa mwisho wa upiganaji.

Hawa ma-forwad bado ni muhimu sana wakati huu tunapohitji kuchunguza mikataba mibovu ya akina karamagi,Mzee wa Rombo nk.
 
Ifuatayo ndiyo orodha sahihi ya Baraza la Mawaziri na Majina Sahihi ya Wizara zao.

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NI:

1. WAZIRI OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA SOFIA) - Sophia SIMBA

2. WAZIRI OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UMMA) HAWA GHASIA

3. WIZARA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (SHUGHULI ZA MUUNGANO) MOHAMED SEIF KHATIB

4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. BATILDA BURIANI

5. WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA NA URATIBU WA BUNGE) WAZIRI PHILIP MARMO

6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WAZIRI STEVEN WASSIRA NAIBU SELINA KOMBANI

7. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAZIRI MUSTAFA MKURO NA

MANAIBU NI JEREMIH SUMARI NA OMARI YUSUF MZEE

8. WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAZIRI PROFESA DAVID MWAKYUSA NAIBU NI AISHA KIGODA

9. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WAZIRI JOHN CHILIGATI

10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAZIRI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE NAIBU GAUDENSIA KABAKA NA MWANTUMU MAHIZA

11. WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAZIRI SHUKURU KAWAMBWA NAIBU NI DK. MAUA DAFTARI

12. WIZARA YA MIUNDO MBINU WAZIRI ANDREW CHENGE NAIBU DK. MAKONGORO MAHANGA

13. WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI KAPT. GEORGE MKUCHIKA NAIBU JOEL BENDERA

14. WIZARA YA KAZI, AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA WAZIRI PROFESA JUMA KAPUYA NAIBU HEZEKIA CHIBULUNJE

15. WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI WAZIRI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU ENG. CHRISTOPHER CHIZA

16. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA, USHIRIKA WAZIRI PROF. PETER MSOLLA, NAIBU DR. MATHAYO DAVID MATHAYO

17. WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO WAZIRI MARGARETH SITTA NAIBU NI DR. LUCY NKYA

18. WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAZIRI JOHN POMBE MAGHUFULI NAIBU JAMES WANYANJA

19. MALIASILI NA UTALII WAZIRI NI SHAMSA MWANGUGA NAIBU EZEKIEL MAIGE

20. WIZARA YA MAMBO YA NDANI DR. LAWRENCE MASHA NAIBU NI HAMISI KAGASHEKI

21. WIZARA YA MAMBO YA NJE USHIRKIANO WA KIMATAIFA WAZIRI NI BENARD MEMBE NAIBU SEIF ALI IDDI

22. WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAZIRI WILLIAM NGELEJA NAIBU ADAM MALIMA

23. WIZARA YA SHERIA NA KATIBA MH. MATHIAS CHIKAWE

24. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA DK. HUSSEIN MWINYI NA NAIBU EMMANUEL NCHIMBI

25. WIZARA YA AFRIKA MASHARIKI DK. DEODATUS KAMALA

26. WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA MASOKO DK. MARY NAGU NAIBU CYRIL CHAMI
 
Aaaahhh aaaahhaa aaaahhhaa. Sometime Mh. Kikwete anatakiwa awe serious. Sasa kumrudisha mtu kama Chenge kwenye baraza hilo ina maana hakukuwa na watu wengine ambao wana-fit hiyo nafasi? Si huyu ametajwa kwenye baadhi ya scandal tena anarudi. Aliwahi kumtishia Mh. Slaa kuwa angekwenda mahakamani kwa kumzulia ufisadi na hadi mwaka kesho hataenda kufungua hayo mashitaka. Hapa kuna kitu JK anajaribu kufunika au..........??? Au ndiyo fadhila yenyewe ya SISIEM.
U know what, ngoma mdundo..... Tutaendelea kuwaumbua tu na ufisadi wao. Naamini kama JK hataki kumuweka kando huyo Chenge basi JF kwa kushirikiana na wenye uchungu na nchi watamuondoa kama walivyoondoka wenzake. Eti Nchimbi naibu wa Wizara ya Ulinzi, mmmh ndo fadhila hizo JK hakuna anayeshangaa lakini angalia sana Mheshimiwa sana maana mabomu yatazidi kuja. Ukiendekeza ushikaji mwaka 2010 utauona mgumu sana. Yaani muundo huo wa baraza pamoja na kutafakari kwa zaidi ya masaa 48 still wizara ya kilimo hukuweka naibu bila kuzingatia kuwa hiyo vilevile ni wizara nyeti especially kwa nchi yetu. Mmmh labda kutakuwa na mabadiliko mengine hivi karibuni, WHO KNOWS!!

May be skendo ya IPTL ambayo JK inasemekana alikuwa waziri wa Nishati Chenge alikuwa ni mwanasheria mkuu na alimsaidia.

Nchibi yeye inasemekana ni mkurugenzi wa ufundi (Uchawi) wa JK!!!!
 
kwa kweli Nimekaribia kuzimia kwa Furaha kwa Msolla kukaa mbali na Elimu ya juu.Pia waziri mwenye kiburi na fisadi Basil Mramba kutupwa nje.Now it is a good move.JK hapo umefanya kazi ingawa pia umechemka baadhi ya wizara fulani hivi
 
Ni kweli kabisa maaana hata mimi nilipoona Ardhi niliogopa sana MAGUFULI pekee ndo anapopaweza.... sasa nyamagana imeshauzwa

Magufuli si chochote ana scandal za kuuza nyumba za serikali naye angeondoka tu.Kapuya,Mzee Tyson,Chenge,Mohamed Seif Khatibu, pia wangefunga virago.
 
Wanyancha hatimaye kapata Unaibu ili kumzima na kelele zake za kule Mbugani Mugumu amabako wanataka kujenga Uwanja wa ndege na JK na kundi lake wamegawana vitalu na anaanza kujenga hotel na kuwapa nafasi wawekezaji .

Wait and see what is happening .
 
Kama Waziri umembakisha ktk baraza la mawazili kuna haja gani ya kumbadilisha wizara? ukizingatia utendaji wake unaridhisha kama Magufuli na Sitta. Ktk hili JK umechemsha kabisa yaani imekuwa kama unaunda serikali mpya bwana? Kumbuka hii si vunja vunja bali ni kurekebisha wizara na mawaziri tu. hainiingii kichwani kabisa unapokuwa jina la wizara hujabadilisha na waziri aliyekuwapo hujamtema umuondoe pale umpeleke sehemu nyingine.

JK let us be seious with this poor country with full of naturals resources and opportunities for it to develope up the first world country levels.

I really dissapointed by you mr President.

If this are the advice of Pinda then I can see how this govmt will be worse.

Take care JK
 
Ifuatayo ndiyo orodha sahihi ya Baraza la Mawaziri na Majina Sahihi ya Wizara zao.

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NI:

1. WAZIRI OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA SOFIA) - Sophia SIMBA

2. WAZIRI OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UMMA) HAWA GHASIA

3. WIZARA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (SHUGHULI ZA MUUNGANO) MOHAMED SEIF KHATIB

4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. BATILDA BURIANI

5. WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA NA URATIBU WA BUNGE) WAZIRI PHILIP MARMO

6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WAZIRI STEVEN WASSIRA NAIBU SELINA KOMBANI

7. WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO WAZIRI MUSTAFA MKURO NA

MANAIBU NI JEREMIH SUMARI NA OMARI YUSUF MZEE

8. WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII WAZIRI PROFESA DAVID MWAKYUSA NAIBU NI AISHA KIGODA

9. WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WAZIRI JOHN CHILIGATI

10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAZIRI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE NAIBU GAUDENSIA KABAKA NA MWANTUMU MAHIZA

11. WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA WAZIRI SHUKURU KAWAMBWA NAIBU NI DK. MAUA DAFTARI

12. WIZARA YA MIUNDO MBINU WAZIRI ANDREW CHENGE NAIBU DK. MAKONGORO MAHANGA

13. WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO WAZIRI KAPT. GEORGE MKUCHIKA NAIBU JOEL BENDERA

14. WIZARA YA KAZI, AJIRA NA MAENDELEO YA VIJANA WAZIRI PROFESA JUMA KAPUYA NAIBU HEZEKIA CHIBULUNJE

15. WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI WAZIRI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU ENG. CHRISTOPHER CHIZA

16. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA, USHIRIKA WAZIRI PROF. PETER MSOLLA, NAIBU DR. MATHAYO DAVID MATHAYO

17. WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO WAZIRI MARGARETH SITTA NAIBU NI DR. LUCY NKYA

18. WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAZIRI JOHN POMBE MAGHUFULI NAIBU JAMES WANYANJA

19. MALIASILI NA UTALII WAZIRI NI SHAMSA MWANGUGA NAIBU EZEKIEL MAIGE

20. WIZARA YA MAMBO YA NDANI DR. LAWRENCE MASHA NAIBU NI HAMISI KAGASHEKI

21. WIZARA YA MAMBO YA NJE USHIRKIANO WA KIMATAIFA WAZIRI NI BENARD MEMBE NAIBU SEIF ALI IDDI

22. WIZARA YA NISHATI NA MADINI WAZIRI WILLIAM NGELEJA NAIBU ADAM MALIMA

23. WIZARA YA SHERIA NA KATIBA MH. MATHIAS CHIKAWE

24. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA DK. HUSSEIN MWINYI NA NAIBU EMMANUEL NCHIMBI

25. WIZARA YA AFRIKA MASHARIKI DK. DEODATUS KAMALA

26. WIZARA YA VIWANDA, BIASHARA NA MASOKO DK. MARY NAGU NAIBU CYRIL CHAMI

Yaani Mwanakijiji namba 1 ni makosa na still unasema ni taarifa sahihi.
 
Ukitaka kujua ni kwanini watu wanaquestion, angalia perfomance ya wizara ya ujenzi tangu magufuli aondoke, na baada ya muda mfupi uangalie tena wizara ya Ardhi itakavyokuwa, the qustion is, kama aliiweza ya ujenzi kwanini ahamishwe? Kama ya Ardhi ameiweza kwanini anahamishwa? What about Membe ina maana yeye ndiye ameiweza zaidi wizara ya mambo ya nje?

...............pengine sasa wanampa nafasi ili amalizie PhD yake.....nafikri itakuwa vema naye akashughulike na mapanki na wawekezaji wa sector hiyo....na pia akapambane na akina Mzindakaya, Lowassa et al na mifugo yao
 
Sasa nini point ya kumbakiza Msolla kwenye baraza? Kweli Miafrika Ndivyo Tulivyo!!! Au LiChenge?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom