Mpita Njia
Platinum Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,189
Inamuwea vigumu mzee kuchukua hatua kwa sababu na yeye yupo kwenye wavu huo wa ufisadi, iwapo ataamua kuchukua hatua anaweza kujikuta na yeye anaondoka au anawaondoa wote na kubakia peke yake, hatasimama na kudumu katika mazingira hayo