Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,076
7,857
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NI:

OFISI YA RAIS:

1. Ofisi ya Rais Utawala Bora
-Sophia Simba

2. Menejimenti ya Utumishi wa Umma
-Hawa Ghasia.

3. Ofisi ya Makamu wa Rais
- Muhammed seif Khatib

4. Mazingira
-Dk Batilda Burian

OFISI YA WAZIRI MKUU:

5. Waziri wa Nchi (Sera), Uratibu na Bunge)
-Philip Marmo.

6. Waziri wa Nchi (Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa)
-Steven Wassira.
Naibu Waziri-Celina Kombani.

NYINGINE:
7. Mipango na Fedha
- Mustafa Mkullo
Naibu Waziri - Jeremia Sumari
Naibu Waziri - Omar Yusuf Mzee.

8. Afya na Ustawi wa Jamii
- Profesa Mwakyusa
Naibu Waziri-Dk Aisha Kigoda

9. Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
- John Chiligati

10. Elimu na Mafunzo ya Ufundi
- Profesa Jumanne Maghembe
Naibu Waziri-Gaudensia Kabaka
Naibu Waziri-Mwantumu Mahiza

11. Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
- Dk Shukuru Kawambwa
Naibu Waziri-Dk Maua Daftari

12. Mindombinu
- Andrew Chenge
Naibu Waziri-Dk Milton Mahanga

13. Habari, Utamaduni na Michezo
- George Huruma Mkuchika
Naibu Waziri Joel Bendera

14. Kazi, Ajira na Maendeleo ya vijana
- Profesa Juma Kapuya
Naibu Waziri-Hezekiah Chibulunje

15. Maji na Umwagiliaji
- Profesa Mark Mwandosya
Naibu Waziri - Eng. Christopher Chiza.

16. Kilimo, Chakula na Ushirika
- Profesa Peter Musola
Naibu Waziri - Dk Matayo David Matayo.

17. Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
- Margareth Sitta
Naibu Waziri-Dk Lucy Nkya

18. Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
- John Magufuli
Naibu Waziri - Dk James Wanyancha

19. Maliasili na Utalii
- Shamsa Mwangunga
Naibu Waziri - Ezekiel Maige

20. Mambo ya Ndani
- Lawrence Masha
Naibu Waziri - Hamisi Kagasheki

21. Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
- Bernard Membe
Naibu Waziri - Seif Ali Iddi

22. Nishati na Madini
- William Ngeleja
Naibu Waziri - Adamu Malima.

23. Katiba na Sheria
- Mathias Chikawe

24. Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
- Dk. Hussein Mwinyi
Naibu Waziri - Dk Emmanuel Nchimbi

25. Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dk. Deodorius Kamala
Naibu Waziri Mohamed Aboud

26. Viwanda Biashara na Masoko
- Dk Mary Nagu
Naibu Waziri - Dk Cyril Chami
 
JK kwa hakika hayuko seious hata kidogo

Sitta alikuwa anaenda vizuri na Elimu sasa ???????

Magufuri alikuwa anaenda vizuri na Aridhi sasa ?????

Bad cabinet
 
Hiyo ya 22 ni Wizara ipi hapo au ni Waziri asie kuwa na Wizara maalum.
Hivyo ametoka na Mawaziri 27.
 
hivi huyu kapuya ndio nani hasa nchi hii..? yaani kabaki....?
haya twende tu ..tutafika
 
JK kwa hakika hayuko seious hata kidogo

Sitta alikuwa anaenda vizuri na Elimu sasa ???????

Magufuri alikuwa anaenda vizuri na Aridhi sasa ?????

Bad cabinet

Ni kweli kabisa maaana hata mimi nilipoona Ardhi niliogopa sana MAGUFULI pekee ndo anapopaweza.... sasa nyamagana imeshauzwa
 
Meghji Nje
Msolla Nje
Mwapachu Nje
Nchimbi Nje

..........mambo ya siasa bwana.......anyway ndio imeshatoka hiyo tusikilizie utendaji sasa
 
Mkuu Invi.....

1. Hapo kwenye 22 ni "Wizara ya Nishati na Madini" - Ngeleja & Malima

2. Hapo kwenye 17, "Kilimo" ni Msolla & Mathayo.....

Invi.... tukushukuru kwa hilo

WanaJambo wenzangu, mimi kimawazo tu ni kwamba nadhani mambo sio mabaya sana tumuombe Molla, tukaze buti na tuendelee na mapambano dhidi ya MAFISADI..... Baraza ni zuri na pongezi kwa Mhe Muungwana JK!!

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Tubariki waTanzania, Mungu Ibariki JamboForums!!!!
 
*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

and then,

16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

is there any consistency or typing error

Actually people like
Chenge,
Masha,
Mathayo,
Kapuya,

no way rais akapata maisha bora

And to the president office all girls (mamas) .... hahaah

Looks like the whole govt including Rais need a Ngurudotos.
 
JK kwa hakika hayuko seious hata kidogo

Sitta alikuwa anaenda vizuri na Elimu sasa ???????

Magufuri alikuwa anaenda vizuri na Aridhi sasa ?????

Bad cabinet

Ni kweli kabisa maaana hata mimi nilipoona Ardhi niliogopa sana MAGUFULI pekee ndo anapopaweza.... sasa nyamagana imeshauzwa
 
Mbona hili si baraza jipya la mawaziri,Ni viraka vimebandikwa kwenye lile vazi la zamani!! Adam MALIMA???Mbunge wa Mukuranga???Tunasubiri maajabu na miujiza ya maisha bora!!
This might b the weakest cabnet ever,Is this what we are waiting so long??woe to Tanzania,The way of uprightness is like the light of early morning, getting brighter and brighter till the full day.
This has shown how ruling party decides in critical situation itching the nations.
DR.Mwinyi na DR Nchimbi wizara ya ulinzi??hawa vijana wataweza kusimamia maswala ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama??
Sitaki kuamini sasa hivi kwamba kuna jipya,Time will tell
 
JK kweki hayuko serious- bado ni usanii tuu??

A: Out so far ni hawa!

1. Kingunge
2. Mungai
3. Mapachu
4. Mramba
5. Meghji
6. Karamaji
7. Msabaha
8. Mlaki
9. Ngasongwa
10. Danieli Nsongikwazo
`11. Dialo
12. Zubeid Mhita

B: Wapya (In)

1. Mama Nkya- (Naibu)- Wanawake na Watoto
2. HAMISI KAGASHEKI (naibu)- Mambo ya ndani
3. Malima (Naibu)- Madini/Energy
4. Wanyanja- Mifugo
5. Ezekeli Maige

C: Manaibu walifanywa Mawaziri kamili
1. Mustafa Mkulo
2. Kamala
3. Ngeleja
4. Chikawe

D: Wengine wamebadilishwa tu wizara

However- are these major changes? Are they affiective?

Je hao walioachwa watapewa kazi nyingine?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom