Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

Mbona hili si baraza jipya la mawaziri,Ni viraka vimebandikwa kwenye lile vazi la zamani!! Adam MALIMA???Mbunge wa Mukuranga???Tunasubiri maajabu na miujiza ya maisha bora!!
This might b the weakest cabnet ever,Is this what we are waiting so long??woe to Tanzania,The way of uprightness is like the light of early morning, getting brighter and brighter till the full day.
This has shown how ruling party decides in critical situation itching the nations.
DR.Mwinyi na DR Nchimbi wizara ya ulinzi??hawa vijana wataweza kusimamia maswala ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama??
Sitaki kuamini sasa hivi kwamba kuna jipya,Time will tell
 
Mkuu Invi.....

1. Hapo kwenye 22 ni "Wizara ya Nishati na Madini" - Ngeleja & Malima

2. Hapo kwenye 17, "Kilimo" ni Msolla & Mathayo.....

Invi.... tukushukuru kwa hilo

WanaJambo wenzangu, mimi kimawazo tu ni kwamba nadhani mambo sio mabaya sana tumuombe Molla, tukaze buti na tuendelee na mapambano dhidi ya MAFISADI..... Baraza ni zuri na pongezi kwa Mhe Muungwana JK!!

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Tubariki waTanzania, Mungu Ibariki JamboForums!!!!
 
*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

and then,

16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

is there any consistency or typing error

Actually people like
Chenge,
Masha,
Mathayo,
Kapuya,

no way rais akapata maisha bora

And to the president office all girls (mamas) .... hahaah

Looks like the whole govt including Rais need a Ngurudotos.
 
Mbona hili si baraza jipya la mawaziri,Ni viraka vimebandikwa kwenye lile vazi la zamani!! Adam MALIMA???Mbunge wa Mukuranga???Tunasubiri maajabu na miujiza ya maisha bora!!
This might b the weakest cabnet ever,Is this what we are waiting so long??woe to Tanzania,The way of uprightness is like the light of early morning, getting brighter and brighter till the full day.
This has shown how ruling party decides in critical situation itching the nations.
DR.Mwinyi na DR Nchimbi wizara ya ulinzi??hawa vijana wataweza kusimamia maswala ya majeshi yetu ya ulinzi na usalama??
Sitaki kuamini sasa hivi kwamba kuna jipya,Time will tell
 
Hivi huyu chenge na kapuya sijui wamemfurahisha nini jamaa. Anyway kawapandisha wengi ila sasa,magufuli kumpeleka huko uvuvi je ni kumjaribisha kila mahali?ngoja tusubiri tuone
 
Hawa Ghasia bado anajidai!! Mathayo waziri!!!! Hivi inakuwaje wizara kubwa na muhimu kama Kilimo na Chakula haina naibu. Katika pitiapitia yangu sijaona wizara ya mipango, kulikoni!! Hivi wizara ya sheria, does that mean mwanasheria mkuu katupwa nje????

Nafikiri baraza bado lina mapungu mengi tu!!!
 
*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

and then,

16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

is there any consistency or typing error

Actually people like
Chenge,
Masha,
Mathayo,
Kapuya,

no way rais akapata maisha bora

And to the president office all girls (mamas) .... hahaah

Looks like the whole govt including Rais need a Ngurudotos.
 
Hawa Ghasia bado anajidai!! Mathayo waziri!!!! Hivi inakuwaje wizara kubwa na muhimu kama Kilimo na Chakula haina naibu. Katika pitiapitia yangu sijaona wizara ya mipango, kulikoni!! Hivi wizara ya sheria, does that mean mwanasheria mkuu katupwa nje????

Nafikiri baraza bado lina mapungu mengi tu!!!

Ni kweli haina Naibu. Wizara nyingi safari hii zimenyimwa manaibu, Hili la Wizara ya Kilimo kutokuwa na Naibu Waziri hata mimi nimeshtukia kwamba ni upungufu.
 
*MAJI IMEUNGANISHWA NA KILIMO ILI WIZARA HII ISHUGHULIKE NA MIUNDOMBINU YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI.

and then,

16. WIZARA YA MAJI PROFESA MARK MWANDOSYA NAIBU CHIZA

17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MATHAYO DAVID MATHAYO

is there any consistency or typing error

Actually people like
Chenge,
Masha,
Mathayo,
Kapuya,

no way raia akapata maisha bora

And to the president office all girls (mamas) .... hahaah

Looks like the whole govt including Rais need a Ngurudotos.
 
Hawa Ghasia bado anajidai!! Mathayo waziri!!!! Hivi inakuwaje wizara kubwa na muhimu kama Kilimo na Chakula haina naibu. Katika pitiapitia yangu sijaona wizara ya mipango, kulikoni!! Hivi wizara ya sheria, does that mean mwanasheria mkuu katupwa nje????

Nafikiri baraza bado lina mapungu mengi tu!!!

Mipango, Uchumi, Uwezeshaji + Fedha wizara moja.
Pia mwanasheria mkuu anakuwepo lakini hatakua tena katibu wa wizara ya sheria.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom