mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 821
- 1,343
Hili suala la Bandari tatizo tumeingiza sana siasa ndani yake lakini Meli inaweza fika Dar mapema ikacheleweshwa kupangiwa siku ya kushusha mzigo kiasi kwamba kufika inaweza chukua wiki 2 au 3 halafu ikasubiri tena wiki 3 hadi 4 kupangiwa kushusha mzigo.
Tanzania jamani sijui ni nani katuloga sisi , ni lini tutaendelea na sisi tuwe tunajivunia maendeleo yetu.
Tanzania jamani sijui ni nani katuloga sisi , ni lini tutaendelea na sisi tuwe tunajivunia maendeleo yetu.