Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

Bado ni mazuzu, kwa kuwa ujinga unafanyika tupo kimya, kuna dalili za ujinga kutokea hakuna hatua tunayochukua

SISI BADO NI MAZUZU.

Mfano mkataba huu upenye, ujenzi ufanyike katika kizazi chetu, wanetu(kizazi kijacho) wataona sisi tulifanya lipi la maana?
Hapo wachina wanakwambia wanajenga bandari na wataitumia kwa miaka hamsini ndo wawaachie nyie.

Hakuna TRA kukanyaga pale.. mapato yote ni yao. Kodi, tozo na kila kitu. Hatakiwi mtanzania yeyote kusogeza pua lake pale.

Ajira na kila kitu cha bandarini ni for chinese people. Nyinyi mtapewa baada ya miaka hamsini ijayo.
 
Tuachwe kulishwa matango pori,eti ni mkataba wa ovyo kabisa, eti mbona mkataba wenyewe una manufaa mengi mno?eti Bagamoyo port itazuia uwekezeji katika bandari zozote mwambao wetu. n.k.Weka mkataba wenyewe hapa tuusome.Sisi the people ndio tutaamua
Kati yako na waziri Mwambe nani ana taarifa za ndani kabisa za mkataba huu? Au unabisha kuwa hayo sio maneno yake?
 
Ama hakika Africa ni fungu la kukosa

Wale wale walioleta uhuni na ulaghai kwa mababu zetu leo wamelejea tena ndani ya ngozi nyeusi ili hali ndani wakiwa ni wazungu

Mungu inusuru Tanzania
Mungu inusuru Africa
 
Bandari ya Bagamoyo kama Mkataba utakuwa ni Win Win sioni sababu ni kwanini isijengwe.
Hiyo win win haipo na haujawahi kuwepo. Jiulize tu ni mkataba gani tuliwahi kuingia chini ya serikali ya CCM ukawa na win win? Leo kimebadilika nini?
 
Wamakonde walithubutu angalau tuliona; nyumba za akina Hawa Ghasia, Anna Abdallah zilitiwa kiberiti mchana kweupe mbele ya JWTZ waliotanda mitaani enzi za sakata la gesi....
Tunashindwa nini watanganyiga kuangamiza vitega uchumi vya akina Mwambe, Ndugai, Zitto, Makamba jr, na wasaliti wengine maana tunafahamu mali zao zilipo!
Tuache ujinga watanganyika, kuna siku wajukuu watakuja kuyapiga viboko makaburi yetu!
nnsnsatfa.jpg
 
Asilimia kubwa ya Wanyama pori wanauwawa na sisi Wananchi wenyewe,asilimia kubwa ya Miti inakatwa na sisi Wananchi wenyewe asilimia kubwa ya uharibifu wa mazingira tunafanya sisi Wananchi wenyewe.

Hata kusafirishwa kwa Wanyamapori kunakofanywa na Wanasiasa ni kiasi kidogo tu.

Tuache blame game halafu tujirudi.

Tusiisingizie Bandari ya Bagamoyo kuwa itasababisha Mbuga zenye Majangwa

Tatizo la msingi lililopo si bandari kujengwa au kutojengwa.

Tatizo ni hii kuruka kimanga 😁😁!
 
Hiyo win win haipo na haujawahi kuwepo. Jiulize tu ni mkataba gani tuliwahi kuingia chini ya serikali ya CCM ukawa na win win? Leo kimebadilika nini?
Wauweke huu mkataba wazi ili tuone hauna makandokando.

Kama wanaficha hizo Ten% zao sisi hatuzijali wao wauweke wazi tu ili tujiridhishe.
 
Bandari ya Bagamoyo kama Mkataba utakuwa ni Win Win sioni sababu ni kwanini isijengwe.
Unajua kazi ya jeshi ni nini ? Ukisha toa mlango wa bandari kuwa chini ya watu binafsi jua wazi kuwa hapo kazi ya jeshi ni bosheni tu bandari ni mlango wa mpaka wa nchi sasa usalama wa taifa utakuwaje
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya Jeshi na Bandari

Angalia Bandari ya Dar inaendeshwa na Makampuni ya kigeni kwa muda mrefu.

Jeshi lina Rada zake za kuangalia anga na Bahari

Osihofu ila ni vizuri Mkataba ukawekwa wazi.
 
TPA inaendeshwa na makampuni ya kigeni? Haipo chini ya serikali? Ndio nimejua leo hii
 
Wewe akili yako ni zero hata uwanja wa ndege unaopokea ndege kutoka nje lazima kuwe na majeshi na bandari zetu zina majeshi na usalama wa taifa unadhani kwanini au unadhani bandari ni kama shule katika nchi kuna maeneo ambayo yanalindwa zaidi kama bandari ,ikulu, mipaka ya nchi nk
Wewe ujui kitu hao wanao endesha ni kama wapangaji tu mwenyenyumba ni serikali hata airport wanajeshi wapo japo wanavaa kama raia acha ubishi wa kijinga
 
TPA inaendeshwa na makampuni ya kigeni? Haipo chini ya serikali? Ndio nimejua leo hii
TPA ni mamlaka ya bandari zote tz, jamaa kaongelea kuwa
"bandari inaendeshwa na makampuni ya kigeni muda tu"

Hivi ni vitu viwili tofauti kbs! Umekurupuka.
 
Back
Top Bottom