imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,036
Nakumbuka kulikuwa na Tics au Tcts kitu kama hicho.TPA inaendeshwa na makampuni ya kigeni? Haipo chini ya serikali? Ndio nimejua leo hii
Nakumbuka kulikuwa na Tics au Tcts kitu kama hicho.TPA inaendeshwa na makampuni ya kigeni? Haipo chini ya serikali? Ndio nimejua leo hii
Wasipouweka wazi tutajua kuna namna.Uweke wazi ili waumbuke?
How on earth can your fakin husband be a lesbian ?Are you a fkn lesbian? Coz I knw you got 2 holes downthere
Kama Moses Lijenge alifanywa kitu kibaya na watu wanaojulikana na mpaka leo hii kina Maita na kingai wapo wanakula tu bata pasipo presha yoyote ile.unategemea kwa hali hii wataweza kuchukua nchiItategemea kama jeshi lina watu wenye weledi.
Yawezekana kukawa ndiko kwenye mazuzu mengi.
Wewe unayaona hayo, ambayo siyo matatizo ya msingi kabisa; lakini kwa vile umepofushwa na mapenzi yako kwa watu/vyama huwezi kuona matatizo yanayoweza kusababisha watu waseme akheri twende huko.Kama nchi hatuna matatizo makubwa kiasi hicho kwa sasa hadi jeshi kuingilia kati!! Jeshi lichukue nchi kwa mabavu sababu ya Bandari ya Bagamoyo? Mgao wa umeme? Mgao wa maji? Hayo matatizo yapo TZ pekee?
Itakuwa ni stupidiest reason ever ya mapinduzi since dunia iumbwe!! But kwa kilichotokea Zanzibar 2015, pale hata Jeshi lingeamua kufanya chochote nadhani wangeeleweka, Ule ulikuwa ni UPUMBAVU wa kiwango cha SGR kuwahi kufanywa na CCM.
Tunaweza kuwa page moja mimi na wewe!! Kuna sababu mbili zinaweza kujustfy kabisa Jeshi kuingilia kati, na hizo kwa upande wangu naziunga mkono 100%;Wewe unayaona hayo, ambayo siyo matatizo ya msingi kabisa; lakini kwa vile umepofushwa na mapenzi yako kwa watu/vyama huwezi kuona matatizo yanayoweza kusababisha watu waseme akheri twende huko.
Unapoona watawala wanatawala kwa nguvu bila ridhaa ya wananchi, wewe unadhani hilo sio tatizo? Najua utakuja hapa na kudai hayo hayapo hapa kwetu!
Unapoona haki za watu zinakanyagwa na sheria kutofanya kazi ipasavyo, wewe unadhani huo ni mchezo lelemama?
Ipende kweli Tz, acha kupenda viongozi/vyama. ukadhani ndiyo Tanzania
Haihitaji jambo moja, ni mchanganyiko wa mambo mengi. Na sasa kuna mchanganyiko huo huo unaendelea. Ukiwa ndani huwezi kupona, pengine hiyo ndiyo sababu inayokufanya kutoona hivyo viashiria.Tunaweza kuwa page moja mimi na wewe!! Kuna sababu mbili zinaweza kujustfy kabisa Jeshi kuingilia kati, na hizo kwa upande wangu naziunga mkono 100%;
1. Uporaji uliofanyika Zanzibar 2015 (Ile ilikuwa ni aibu kubwa kwa taifa)
2. Uchafuzi wa 2020 uliosimamiwa na mikono ya Chuma ya Jiwe
Ila sidhani kama matatizo ya maji na umeme ikawa sababu ya jeshi kuingilia utawala wa kiraia na wakaeleweka duniani.
TZ hatuwezi kufika huko karibuni kwa mifumo iliyopo, labda mifumo ibadilike, Kikubwa ninachokiona ni wapinzani wa nchi yetu kukata pumzi mapema, no consistency at all!! Wasitegemee CCM watawaletea Nchi kwenye Silver plate, Or wasitegemee eti kuna siku jeshi litapindua nchi and watawapa wao waitawale!! Wapambane, waache uoga!! Leo ishu ndogo tu wengine wameshakimbia nchi tayari na kuwaacha CCM wanatamba peke yao, fight guys...Haihitaji jambo moja, ni mchanganyiko wa mambo mengi. Na sasa kuna mchanganyiko huo huo unaendelea. Ukiwa ndani huwezi kupona, pengine hiyo ndiyo sababu inayokufanya kutoona hivyo viashiria.
Ndio sababu tunataka tusome mkataba wenyewe.Kati yako na waziri Mwambe nani ana taarifa za ndani kabisa za mkataba huu? Au unabisha kuwa hayo sio maneno yake?
Hayo yote kayafanya mzee wa msoga.Halafu ukute mkataba ni miaka 100 kwa masharti hayo tutafika kweli?
Gesi washachukua.
Mafuta nayo wanachukua.
Mlima kilimanjaro unajulikana ni wa wakenya.
Tanzanite imetapakaa kila kona.
Yani Watanzania aliyeturoga sijui ni nani.
haijalishi ilimradi tu wafanye yaoItategemea kama jeshi lina watu wenye weledi.
Yawezekana kukawa ndiko kwenye mazuzu mengi.
Wewe ni mpenzi au shabiki wa CCM; tena CCM iliyooza kabisa.TZ hatuwezi kufika huko karibuni kwa mifumo iliyopo, labda mifumo ibadilike, Kikubwa ninachokiona ni wapinzani wa nchi yetu kukata pumzi mapema, no consistency at all!! Wasitegemee CCM watawaletea Nchi kwenye Silver plate, Or wasitegemee eti kuna siku jeshi litapindua nchi and watawapa wao waitawale!! Wapambane, waache uoga!! Leo ishu ndogo tu wengine wameshakimbia nchi tayari na kuwaacha CCM wanatamba peke yao, fight guys...
InafikirishaKama wao wanajenga bandari Bagamoyo, Pangani inawahusu nini? Chonde chonde....Ni dhambi kama tutaanza kugawa ownership ya Tanzania vipande vipande kwa nchi za nje kwa kitu ambacho kinaepukika.
Huu mradi mbona unakomaliwa sana????