Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

Ukiwauliza utaskia ooh nyinyi wavaa vipedo hamna shule hamjasoma.

Wao wamejazana takriban 90 percent serikalin hakuna wanachofanya zaid ya wizi tuh.
 
Ukweli uko wapi?
Ukweli ni kwamba hatuna utawala wa kisheria. Kuanzia kwa Kikwete. Rais aliyewaambia walioiba pesa za EPA wazirudishe. Rais aliyetuambia anajua wanaouza madawa ya kulevya lakini mpaka leo hajawataja. Kwa hiyo wote wanaofanya kazi chini yake wanajua ukiiba hakuna kuwajibishwa. Ni mwendo mdundo tu chini ya utawala wa Kikwete.
 
Sasa hiyo bandar minasubilia ya tazara tuone nawao matumizi yao yakoje maana wote hao ni watoto wa mwakiembe
 
Nabado, watakula hadi wauze nchi coz naona hakuna utashi wa kisiasa wa kupambana na mafisadi. Tatizo jirani akiwa mchafu si rahisi kumwambia jirani yake awe msafi. Onamlongo wa ufsadi katika taasisi za umma, bank ya twiga kuna ufisadi, jiji la mwaza kuna ufisadi, bandarinikuna ufisadi pia ppra ilitoataarifa ya ufisadi katika maunuzi kwenye taasisi nyingi tu. Lakni bado hatujaona kinacho endelea. Tutafika kwa style hii kweli?
 
Mwakyembe hawezi kazi. Asimamishwe. Ameshindwa kusimamia taasisi zake.
 
Mwakyembe na hao majambazi wenzake wa bandarini wachukuliwe hatua
 
Huko bandarini ili upate kazi unafanyaje maana kwa posho za namna hiyo hata nikiambiwa 50M natoa
 
Mleta mada hakuna pahala katika bandiko lililowekwa la habari leo kwenye post #1 paliposema "kikao cha siku moja!" kama ulivyodanganya wewe kwenye likichwa ako la habari..

Hivi huwa mnapata faida gani kudanganya?
 
Haa! Kumbe ndo maana jiran yangu kanunua V8 mpya...!!!
 
Ingefaa tuige mfano wa China labda itapunguza upuuzi wa namna hii
 
Back
Top Bottom