Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

Bandari hujilipa per diem 600000 kwa siku kwa mfanyakazi kwa safari za ndani
 
Acheni utani basi jamani,hivi Tzs 10 bil mnaifahamu kweli????

kwanini isikuingie akilini mkuu nchi hii mbona washazoea kufanya madudu hayo
wazee wa kuongeza sifuri mbele
 
kuna wakati naogopaga kusoma haya madudu maana yananipaga hasira kiasi naweza tupia viongozi mawe barabarani.
 
kwanini isikuingie akilini mkuu nchi hii mbona washazoea kufanya madudu hayo
wazee wa kuongeza sifuri mbele
Mkuu kama hapa ndipo tulipofikia,basi kujifunga mikanda viunoni na kusema yatosha ni vema.Vinginevyo kwa hali ilivyo sasa inatisha.
 
Dr JK anaangushwa na watendaje wake

Anaangushwa au na yeye au familia inapata dau lake? Kungekuwa na uwezekano vile vijidudu vya EBOLA vikamwagwa Mjengoni Dodoma.

Yaani CCM=EBOLA kwa kweli
 
FaizaFoxy
===>Black Widow Shikamoo, Wezi wenzako hao wanakusanya za kampeni 2015.

Huo ni upunguani wa hali ya juu, kusikiliza habari ya upande mmoja halafu kuitolea maamuzi.

Mwizi mama'ko kama unabisha muulize baba'ko nani, maana mpaka sasa kila mwanamme anaekuja kwenu unaambiwa "mwamkie baba'ko".
 
chief ulichosema ni kitu sahihi kabisa cha kuongeza hii hii serikali wao ndiyo watakuja leta machafuko...na wakumbuke nguvu ya umma ikiianza haizuiliki vyombo vyote vya usalama wanaingiaga mitini...
viongozi na serikali wazipende kuishi kwa mazoeaaa kuwaona ah watz wapenda amani waoga...nani kwambia syo kweli kbsa hakuna watu mafia kama watz....
serikali ya tz na viongozi wake wakaye chini watafakari wapi wanakosea wajirekebishe maana mbeleni huko hali haitokuwa shwari wasiyonacho watawapora wenye nacho kwa nguvu yaani ni vurugu itakuwa
binadamu anachoka badilika siku moja dakika moja sekunde moja hafai anakuwa siyo yule tena

Sijui ndugu kama unaishi hapa Tanzania au Sayari ya Mars! Viongozi au serikali gani ikae chini na kutafakari wapi wanakosea? Juzi wameletewa RASIMU YA KATIBA MPYA ambayo ilikuwa na mapendekezo mazuri tena kutoka kwa wananchi wenyewe ambayo ingekuwa chachu na mwanzo mpya wa kujenga utamaduni wa kuwajibika na kuwajibishana wakati ikilinda haki za kila mwananchi lakini kama uko hapa Tanzania basi unajua kilichotokea. Kama wangekuwa ni watu wa kukaa chini na kutafakari hiyo ilikuwa ni fursa aina yake kutafuta mwarobaini wa ufisadi. WAMELEWA MADARAKA, wanafiikiri wana hati milki ya kufanya cho chote bila kuwajibishwa, wanafikiri wao peke yao tu ndio wenye uwezo wa kuamua kipi kinafaa kwa nchi hii (na kwao kinachofaa ni kile kinacholinda maslahi ya kikundi kidogo cha watawala). Hawa hawasikii tena na Mswahili alisema SIKIO LA KUFA.
 
1/=.................................shilingi moja
10/=................................shilingi kumi
100/=...............................shilingi mia moja
1,000...............................shilingi elfu moja
10,000/=............................shilingi elfu kumi
100,000/=...........................shilingi laki moja
1,000,000/=.........................shilingi milioni moja
10,000,000/=........................shilingi milioni kumi
100,000,000/=.......................shilingi milioni mia moja
1,000,000,000/=.....................shilingi bilioni moja
10,000,000,000/=....................shilingi bilioni kumi

hiyo niliyo'bold ndo iliyotumika kwenye kikao kimoja, ukipanga msimbazi msimbazi kuanzia ikulu ya magogoni zinaweza kufika arusha.

Mkubwa Noti 10 za buku 10 ni sawa na 1m kimahesabu,1km sawa ni 1000m that means 1km ni sawa na noti 10,000 za buku 10,kwa mahesabu ya haraka 100millions ni sawa na 1km,kutoka magogoni hadi atown ni 685km that means kucover zote hizo km tunahitaji 100m mara 685km ambazo ni sawa na 0.685billions hawa jamaa wamepiga 10b inamaana ukizitandaza kuanzia magogoni hadi city centre ya arusha unapata mistari 15 ya buku kumi kumi aiseee hawa jamaa wamepiga hela jamani.
 
Wanajamvi,
Leo nimesoma kwenye magazeti kuwa mamlaka ya bandari imetafuna 9.6bilioni kwa kikao kimoja, nikakumbuka michango ya maabara tunaandamwa hadi tunakosa amani. Hizi si zigetosha ujenzi wa maabara shule za kata 1,000?
Kama ni kweli basi tutarajie maafa kama yale ya Burkina Faso.
Watu wameshalewa madaraka. Dr. Mwakyembe huwa nina imani kubwa sana na utendaji kazi yako kuliko hata Dr. J.P.Magufuli sasa huyo mkurugenzi mpya ulimpata kwa kupitia taratibu zote za ajira au ulishinikizwa na bosi wako?




Chanzo:
Habari Leo

On the positive note! Hayo matumizi nadhani yameingia kwenye mzunguko wa uchumi; fikiria wato huduma waliolipwa, wasafirishaji, wenye ukumbi, na hata michepuko wote wanafaidika - tatizo liko wapi?

Kama mchango wa maabara toa na usidhani wasingetafuna hizo hela ndio zingekwenda kwenye maabara!
 
ngoja kesho tusikie taarifa zaidi juu ya hiyo kutoka sirikalini
 
mchanganuo wa billion 9


  1. Billion 9 kama zikipangwa balabalani zitafika umbali wa 126KM (kilometer) karibia morogoro (kumbuka note ya 10000 ina cm 14)
  2. Billion 9 zingetosha kila mwananchi hapa Tanzania kupata Tsh 200 (kumbuka fungu la mchichan ni sh 150)
  3. Billion tisa zinatosha kujenga maabara 1000 (kila maabara million 9)
  4. Billion tisa zinatosha kulipa mishahara walimu 18,000 kwa mwezi

ongezea mengine

 
Jamani tuoneeni huruma basi binadamu wenzenu.... Khaaaa bilioni Tisa mkutano! Bilioni Tisa matangazo...? Khaaaaa mlitangaza mpaka Jupiter, mars, Venus na Pluto? Inakera sana kwa kweli wakati wengine tunahangaika kujenga nchi wengine naona wao wanafuja... Halafu mtu aje aniambie mchango hela ya maabara, walahi utasahau njia ya kurudi ulikotoka
 
$$$$$$ Tanzania kuna PESA ZA BUREEEE $$$$$$$$$

This is only ONE FINANCIAL YEAR, July 2013/14

👌👌 Mungu baba tshs 👉 9,600,000,000 mkutano tu

👌👌 Mungu wangu tshs 👉 9,400,000,000 matangazo

👌👌 Yesu wangu tshs 👉 10,000,000,000 safari tu...


TUTABAKIA MASKINI HADI MWISHO WA DUNIA...

TANZANIA KUJITOA KTK UMASKINI NI NDOTO ZA
ALI NACHA, i feel so much pain...hii Tanzania hii,
Mungu pekee ataivusha ktk WIZI NA RUSHWA...

In Tz...WIZI NA RUSHWA KUBWAAA = EBOLAA
 
Mkubwa Noti 10 za buku 10 ni sawa na 1m kimahesabu,1km sawa ni 1000m that means 1km ni sawa na noti 10,000 za buku 10,kwa mahesabu ya haraka 100millions ni sawa na 1km,kutoka magogoni hadi atown ni 685km that means kucover zote hizo km tunahitaji 100m mara 685km ambazo ni sawa na 0.685billions hawa jamaa wamepiga 10b inamaana ukizitandaza kuanzia magogoni hadi city centre ya arusha unapata mistari 15 ya buku kumi kumi aiseee hawa jamaa wamepiga hela jamani.
ayaaaa! sasa iyo noma sana man, yaani unaweza kutandaza ka kapeti kavinoti tupu?
 
Back
Top Bottom