Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

Cheza na ukawa sio ccm, awa jamaa ni majanga snura na bongo muvi hawatii miguu. Hah hah acha picha liendelee hakuna msafi humo ndani
 
mimi siamini, we haiwezekani!!!!!, hospitali hamna dawa, bilioni 30 siku 1, we are not serious! kama kweli wananchi tumelala sana, kwingineko duniani ikithibitika hii wananchi wengi wange-react!!!

Kelele ya nini fedha zimetumwa Afrika Kusini kutengeneza tishet. kofia na skafu na nyingine china kutengeneza khanga na vitenge kwa maandalii ya 2015. Samaki mkunje angali mbichi.
 
Naam habari ndiyo hiyo!
 
Nchi imeliwa vya kutosha! Watanzania cjuh nani aliyewaloga!!! Ngoja waje wafia chama uone comment zao,ndo mtaamn Watanzania wengi wamerogwa c bure! Ipo cku Mungu atackia kilio chetu!!!
 
TUHUMA NZITO BANDARI
Mamlaka ya bandari (TPA) imetumia BILLION 30 kwa ajili ya Kikao kilichofanyika kwa masaa mawili tu, iko hivi
1. Sh. Bilion 9.6 kwa ajili ya posho..
2. Sh. Bilion 9.4 kwa ajili ya Matangazo yaani kuwatangazia wajumbe waje kwenye kikao..
3. Sh. Bilion 10.9 kwa ajili ya kusafilisha wajumbe ambao wote wako DAR Wajumbe 15 kwa hiyo kila mjumbe sh million 897 nauli kutoka Temeke hadi Posta..
PESA HIZI ZINGETOSHA KUJENGA MAABARA 10000 na Shule 100 kwa Sh milion 299 kila moja.. Leo hii serikali inakata mchango kwa walim na wakulima. Hicho ni kikao kimoja wangekaa vikao 15 kwa mwaka kama ratiba yao inavyoonyesha wangelamba BILION 450 UPO HAPO MTANZANIA?

CHANZO RIpoti ya CAG na Mkuu wa kamati ya Uchunguzi DEO FILIKUNJOMBE MBUNGE LUDEWA.

shule moja jijini Dar walim walipomaliza kikao cha kiofisi waligawiwa posho ya Tsh 600/= ni mwaka jana tu
 
TUHUMA NZITO BANDARI
Mamlaka ya bandari (TPA) imetumia BILLION 30 kwa ajili ya Kikao kilichofanyika kwa masaa mawili tu, iko hivi
1. Sh. Bilion 9.6 kwa ajili ya posho..
2. Sh. Bilion 9.4 kwa ajili ya Matangazo yaani kuwatangazia wajumbe waje kwenye kikao..
3. Sh. Bilion 10.9 kwa ajili ya kusafilisha wajumbe ambao wote wako DAR Wajumbe 15 kwa hiyo kila mjumbe sh million 897 nauli kutoka Temeke hadi Posta..
PESA HIZI ZINGETOSHA KUJENGA MAABARA 10000 na Shule 100 kwa Sh milion 299 kila moja.. Leo hii serikali inakata mchango kwa walim na wakulima. Hicho ni kikao kimoja wangekaa vikao 15 kwa mwaka kama ratiba yao inavyoonyesha wangelamba BILION 450 UPO HAPO MTANZANIA?

CHANZO RIpoti ya CAG na Mkuu wa kamati ya Uchunguzi DEO FILIKUNJOMBE MBUNGE LUDEWA.

= kusafirisha.
 
Jamani hebu acheni utani. mambo kama hayo yanawezekana kweli? Posho ya bilioni kumi wanalipwa nchi nzima au? Na hao wajumbe wanaotangaziwa kwa bilioni tisa wanatangaziwa kwa system ipi? Na usafiri huo sasa si ni kituko?

Siamini kama ni kweli maana kama ni kweli, ipo sababu ya Tanzania kusema amani na utawala wa sheria bye bye.
 
TUHUMA NZITO BANDARI
Mamlaka ya bandari (TPA) imetumia BILLION 30 kwa ajili ya Kikao kilichofanyika kwa masaa mawili tu, iko hivi
1. Sh. Bilion 9.6 kwa ajili ya posho..
2. Sh. Bilion 9.4 kwa ajili ya Matangazo yaani kuwatangazia wajumbe waje kwenye kikao..
3. Sh. Bilion 10.9 kwa ajili ya kusafilisha wajumbe ambao wote wako DAR Wajumbe 15 kwa hiyo kila mjumbe sh million 897 nauli kutoka Temeke hadi Posta..
PESA HIZI ZINGETOSHA KUJENGA MAABARA 10000 na Shule 100 kwa Sh milion 299 kila moja.. Leo hii serikali inakata mchango kwa walim na wakulima. Hicho ni kikao kimoja wangekaa vikao 15 kwa mwaka kama ratiba yao inavyoonyesha wangelamba BILION 450 UPO HAPO MTANZANIA?

CHANZO RIpoti ya CAG na Mkuu wa kamati ya Uchunguzi DEO FILIKUNJOMBE MBUNGE LUDEWA.

Angalia hawa mods. Hehehe wangekua wanaunganisha hivi haata topic wazipendazo za ngono na matusi ingependeza sana. Lakini ishu za maana ndio wanaona umuhimu wa ku merge. Ila punyeto, kuongeza makalio nakadhalika watafanya stickya hata topic 5. Ningefurahi sana kama hawa mods tungewekewa picha zao! Hakika na lazima wapo ambao wana ulemavu wa akili ili tuwasaidie kina max kuchagua!

NB. Ulemavu wa akili sio tusi!
 
Mchomvu anaripot kuwa ufisadi huu unafanywa kwa kikao chenye wajumbe 15 tena wote wakitokea Dar, kikao cha masaa mawili tu. Bofya hapa kwa tarifa zaidi!

Hali kama ndio hii, Tanzania inaelekea kubamya. Hapa naona nchi hii sasa haina mwenyewe! ni kma kila mtu anawahi chake, kwa mfumo wa "Chukua Chako Mapema"!

E mwenyezi Mungu tusaidie!
 
Pesa ya kampeni inatafutwa kwa nguvu ........................!!
 
Back
Top Bottom