Kakende
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 2,741
- 1,233
Mleta mada hakuna pahala katika bandiko lililowekwa la habari leo kwenye post #1 paliposema "kikao cha siku moja!" kama ulivyodanganya wewe kwenye likichwa ako la habari..
Hivi huwa mnapata faida gani kudanganya?
Wewe ni mwanamke gani msheeenzi hivi, siku zote unatetea uovu, ALLAH atakuchoma moto