FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
faiza foxy unajinasib kwa uislam wako lakin uislamu haufundishi kuiba kudhulumu kuua kusema uongo sijui uislam wako wa wapi ila tuu napenda kusema mungu atakuhidi in shaa allah
Naona unanipachika uwizi, uongo. Hivi ulliniona nikiiba au nikisema uongo, au unanisoma kwa macho upande? au huelewi unachokisoma? unataka niseme uongo ili iweje? wakati ukweli unauona hapo juu, mleta mada kadanganya kwenye heading, ilipoletwa habari kamili hakuna mahali paliponukuliwa kama alivyoandika yeye. Huo huuoni kuwa ni uongo? anapoupinga FaizaFoxy wewe ndiyo unamuona yeye muongo?
Nakuombea dua uwe na ufahamu wenye kheri.