Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,630
- 25,586
Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini.
Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini.
Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona, kusikia na kuelezwa yale yote yalofanywa na serikali ya Tanzania ya kuua raia wake kuanzia siku ya tarehe 29 Octoba kwa risasi za moto na kwamba mauaji hayo bado yaendelea katika matukio tofauti (Isolated Incidents).
Ukuaji na ushirikiano baina ya mataifa yenu na serikali ya Tanzania yategemea sana uhalali wa serikali hiyo na serikali hiyo kuzingatia sheria na katiba ya nchi na pia kuheshimu sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania ni nchi mwanachama na imesaini mikataba hiyo.
Hivyo basi, balozi zilibakia nilozitaja hapo juu zina wajibu wa kutoa tamko ramsi la kukemea vitendo hivyo viovu na pia kuutaka serikali ya Tanzania kuwaachilia wale wote inowashikilia katika sehemu zozote zile na pia kurudisha miili ya walouawa ili wakazikwe na familia zao.