News Alert: Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Wakati wote mtu hautakiwi kuwa mnyonge kwenye nchi yako! Nchi hii huru na tunajitegemea, Wakenya wasijione wao bora ktk angle yoyote ile! Kulinda UHURU na UTU wetu ni gharama, hivyo tusiogope gharama tukauza utu wetu!

Funga mpaka hadi watakapoeleza walifunga mpaka wao kwasababu gani! Ni UJINGA WA KIWANGO CHA JUU, kufikiri kuwa virusi vya Corona ni vya nchi fulani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini kabla ya madereva kuvuka mipaka yetu wasipimwe corona ya Covid-19 'kama vipimo havipo mipakani sawa' nakwanini visiwepo
 
Hahaha Geza tuna chakula kingi sana kenya mnajiaminisha kenya hakuna chakula na propaganda zenu, tunaagiza tu chakula kidogo kufill deficit... Kwa mfano mwaka huu wakulima wa kenya wanatarajiwa kuvuna mahindi gunia 45m ila consumption ya kenya ni 47m bags per year kwaivo tutahitaji kuimport 2m bags.hizo ni kidogo sana ata uganda wanaweza kusupply zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nzige budget yau mmeweka kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuepuka kupimwa kimagumashi



MY TAKE
Hatujafunga mpaka ila kwa maslahi mapana ya kuwalinda Wakenya wasio na maambukizi kupata maambukizi watakapoingia Tanzania.





Tanzania inaenda na mwendo wa kufaulisha mizigo yao mipakani. Hamna Mkenya anaruhusiwa kuingia Tanzania!
 
Mutakula muliko peleka mboga madhee..hapa mtanyooka tu mnatuletea mno madharau budaaa
tapatalk_jpeg_1589562238383.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...

Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.

Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.

Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.


MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...:D:D:D:D

Fungueni border

Kabudi promised to get back after a week! :D :D :D

Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! :D :D :D


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

bottom line is... Uhuru is a smartass.

conversely, our Tanzanian leaders look like a bunch of morons.
 
Tatizo tunaleta hisia za kike kwenye hii ishu, Mtu mwenye akili ataona kinachoshangiliwa hapa ni ujinga. Wakenya wataendelea na utaratibu ule ule wa kupima madereva na kuwazuia kuingia watakaopatikana na covid-19 na watakaokataa kupimwa. Sasa watch this space, malori ya kenya yataruhusiwa kuingia very soon kama bado. Hapo waTanzania tunashangilia nini sasa?
 
Sasa kama Kenya mpaka wamefunga wao, wanalia nini? Au wanataka Watanzania wasiingie kwao ila wao waingie Tanzania sasa wakija huku si watapata Corona? Kama wamefunga basi watulie dawa iwaingie vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Comprehension is an issue to you people, the border has not been closed, it's open to cargo upon mandatory testing.

As we speak we have over 120 trucks looking to bring goods to Kenya.
 
Back
Top Bottom