Mtoa mada na Mwapachu nyote wale wale kama pipa na mfuniko
Asante sana, hii tabia inasababishwa na maslahi binafsi na ufuasi wa mtu na sio taasisi.
Mtoa mada na Mwapachu nyote wale wale kama pipa na mfuniko
kwani naye alikuwa mcheza pooltable au mpiga debe?mwapachu vile hana kazi ameona arudi kabla hajakamatwa apelekwe shamba!
Na kwakuwa amerudi kinafki eti shughuli zake na za washirika wake zisisumbuliwe basi tunaomba huyu aangaliwe hata kama karudi CCM... Ila mkuu kada swali langu lingine, ina maana shughuli zinazofanywa na wana CCM na washirika wao huwa hazisumbuliwi?? Mfano; Hivi kweli Silent Ocean haina magumashi yoyote yale kwenye lile saga la bandari???Daaaaah!!!! Aiseee hawa WanaSiasa watatumaliza. Ila kwa Huyo Mzee nafikiri it's a little bit too late maana Bosi wetu huyu mpya hatabiriki.
Alirudisha kadi au alienda kuhifadhi kadi yake ofisi ya kata kwa kuwa kwake kuna panya!!?Nadhani kuna kipengele cha Mwapachu kurudisha kadi ya CCM kilikupita. Huyu Balozi alijitoa CCM ila hakujiunga na Chama chochote baada ya hapo. .
Haya tuambie, alirudisha wapi hiyo kadi?Nadhani kuna kipengele cha Mwapachu kurudisha kadi ya CCM kilikupita. Huyu Balozi alijitoa CCM ila hakujiunga na Chama chochote baada ya hapo. .
Hajitambui Nachotaka ni niniMwapachu yuko exactly kama walivyo wana CCM walio wengi..
ni kuwaza kupiga dili kutwa
si ajabu na leo kuna fungu kapewa la kurudi CCM
mkuu haukuwepo siku anatangaza kujivua uanachama mwaka jana nini??alirudisha kadi yake palepale alipochukulia jana sasa napata wasiwasi labda utuambie aliificha wapi??Huyu mzee hakuna sehemu ambayo alisema kuwa anajiunga na chama fulani cha siasa; hivyo kadi yake alikuwa ameihifadhi na jana ameichukua tena.
Si kwamba alijipachika katika chama fulani cha siasa baada ya uamuzi ule, kwani hakuna siku aliyokabidhiwa kadi ya chama kingine, na pia baada ya siku ile hakuonekana hata katika vyombo vya habari au majukwaa ya kampeni ya chama fulani. Hivyo alijiweka pembeni kuangalia upepo unavyovuma na baada ya kuona umevuma upande wa CCM ndipo akatangaza kuwa bado ni mwana CCM.
sasa anayejitambua huko ni nani,maana wengi huko kabla ya kuhama walitoa kauli za kishujaa ndani ya ccm,mara "asiyenitaka atoke yeye ccm ila mimi sitahama ccm"leo wapo wap? hawa wakati wanatoa hizi kauli walikuwa wanajitambua hawajitambui??mnashangaa leo ya mwapachu,ni mwendelezo ule ule wa wanasiasa vigeugeu na huu ni mwanzo tu,mpaka 2020 tutawaona wengi tu.........Hajitambui Nachotaka ni nini
Zipo taarifa za chini kwa chini zinazodai kuwa Balozi Juma Mwapachu ana mpango wa kurejea CCM. Mpaka sasa bado haijafahamika ni sababu zipi hasa zilizompelekea kufikia uamuzi huo.
Itakumbukwa kwamba wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Balozi Mwapachu alirudisha kadi za TANU na CCM na kutangaza kumuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa.
=======
UPDATES:
NOTE: Kulikuwa na tamko la awali likimhusisha Mh. Edward Lowassa; Balozi Mwapachu amekana kuandika tamko hilo ingawa kakiri kuwa kweli ameamua kurejea CCM.
View attachment 330199
Hatimaye imekuwa kweli. Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kurejea CCM
Ukifatilia kwa karibu ndugu utagundua zile harakati za kukijenga chama cha ccm kwa kununua watu wenye tamaa ya pesa kama mwapachu na kuwapa tungo za maneno ili wakalili na kuimba kwenye media hii dalili ya kua magu ni kinyago kile kile kilichonjongwa na wamakonde wale wale kwa kaz ile ileccm wanafukuza wanaoitwa wasaliti, anaerudi atapokelewa na nani?