solomon ndondo
Member
- Mar 14, 2016
- 58
- 27
Mpuuzi huyu mzee kumbeHuyu jamaa kumbe aliahama kwaajili ya cheo hatariii huyu mzee wa pico
Mpuuzi huyu mzee kumbeHuyu jamaa kumbe aliahama kwaajili ya cheo hatariii huyu mzee wa pico
Na kaandika huo utumbo uliooza hapo juu?Ni kweli karudi ccm, mwananchi online nao wameandika
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa ni Mwapachu kaandika (japo kweli anaweza kuwa amerudi CCM). Na kama ni yeye basi atakuwa ana tatizo kubwa sana....Haha mkuu nimepigwa na butwaa!!!
Huyu ndiye alikuwa think tank ya EAC as secretary general!!!!
Dah nchi hii ina mambo!!!!
Au huwezi jua, maana JPM kaanza kuyafuata najipu hata yale yaliyokwisha staafu na kuyataka yajibu tuhuma. Wengine wanaweza kudhani kuwa ukiwa chamani unaweza kuonewa huruma.Hapa kidogo nimemwelewa kwamba kuna kazi zake haziendi kwa kuwa serikali inakwamisha kutokana na kumsaidia lowassa, yale maneno ya wafuasi wa chadema wananyanyaswa yanadhihilishwa wazi
Mkuu hiyo ni hotuba yake aloitoa Leo....Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa ni Mwapachu kaandika (japo kweli anaweza kuwa amerudi CCM). Na kama ni yeye basi atakuwa ana tatizo kubwa sana....
Mtoto akikunyea kwenye mkono je utaukata huo mkono au utatafuta maji nakuusafisha,namsifu Balozi Mwapachu kwa kukiri mapungufu na kujirudi,hata Yesu alijaribiwa sembuse Mwapachu?Arudi asirudi haongezi value yoyote CCM.Walitutelekezea CCM vitani yeye na akina kingunge na akina Sumaye tumepigana wenyewe tumeshinda.Sasa ni HAPA KAZI TU.Atajijua yeye na wenzie waliotusaliti na kusaliti CCM kwenye vita ya uchaguzi.
Tuseme hii habari ni ya kweli....
Kwani hawezi kuishi bila ya kuwa CCM?
Yaani baada ya kuondoka kwa drama vile sasa anaamua kurudi tena?
Hahahahah Mpwa umeona watu wanavyozeeka vibaya? Haya sijui kaahidiwa nini sasa hivi hahahaha maana pia anarudi kwa jili ya MagufuliMkuu hiyo ni hotuba yake aloitoa Leo....
Mimi nimepata shaka mpaka nafikiri labda wamemzushia tu, hakuandika yeye.
Ndiyo maana nikatanguliza kauli yangu na "Kama..."
Inatisha.
Labda ni uzushi....ngoja tusubiri tuone.
Manake siku hizi kuna kila aina ya uzushi kwenye hii mitandao!