Hivi alipotangaza kujitoa ccm alitangaza kujiunga na chama gani? Maana kuna watu na magazeti yanadai kuwa UKAWA imempoteza wakati kwa kumbukumbu zangu mh huyu hakujiunga na chama chochote alikaa kimya tangu ajitoe huko ccm mpaka leo anaporudi tena.[/
QUOTE]
Muulize EL atakuambia Juma Mwampachu alipohama ccm alihamaia wapi!!! Acha kujitoa ufahamu bure, kipindi kile mlipokuwa anajisifia kuwa mnaibomoa CCM mlikuwa mnawasemea akina nani!??!?
Siku hata ukisikia kuwa Kingunge nae amerudi kundini utashangaa hivo hivo!!!!