Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

mkuu haukuwepo siku anatangaza kujivua uanachama mwaka jana nini??alirudisha kadi yake palepale alipochukulia jana sasa napata wasiwasi labda utuambie aliificha wapi??

Endapo kama aliirudisha pale pale alipoichukulia jana ina maana aliwaaambia wamuhifadhie kwani home kwake kuna panya wengi. Na jana ameichukua kadi yake.
 
Hizo tetesi ni za kweli japo sioni impact yake UKAWA wala huko CCM yaani huyu mheshimiwa maarufu huko wanabidii zaidi ya hapo ni kama mimi tu hatuna umaarufu

Si mpapmbe wa kiongozi wenu mkuu alisema uzoefu wenu mdogo na ilibidi achukue ndondo kuongeza nguvu kama mngeshinda sasa watu wamewakazia inabidi wale wenye haya watubu sasa wanabaki makauzu kama kina Sumaye lakini Magu bado hatazami mtu usoni.
 
Endapo kama aliirudisha pale pale alipoichukulia jana ina maana aliwaaambia wamuhifadhie kwani home kwake kuna panya wengi. Na jana ameichukua kadi yake.
basi usishangae na lowassa na wakina sumaye wakazifuata kadi zao pale walipo zihifadhi...........
 
CCM wanadai UKAWA imekimbiwa na Balozi Mwapachu. Hivi Mwapachu alipoondoka CCM alisema anajiunga na chama gn cha upinzani? Na amerudi CCM kutoka wapi? Lowassa alijiunga CHADEMA, Tanzania inajua na dunia inajua.. Sumaye alijiunga CHADEMA, Tanzania inajua na dunia inajua. Lakini Mwapachu alijiunga na chama gani? Nani anajua? Akina Masha, Ole Medeye, Mgeja walijiondoa CCM tukawaona "front" kwny majukwaa ya UKAWA. Lkn Balozi Mwapachu hakujulikana alienda wapi. Alipotea kama "Msukule" hadi leo alipoibuka kutoka "mafichoni" halafu mnasema UKAWA tumepoteza.? Tunapotezaje mtu ambaye hajawahi kuwa wetu? Mwapachu hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote kati ya vinavyounda UKAWA. Hajawahi kushiriki activity yoyote ya UKAWA. Sasa tumempotezaje? Maoni yangu tu. Tupo wengi mno.
 
Si mpapmbe wa kiongozi wenu mkuu alisema uzoefu wenu mdogo na ilibidi achukue ndondo kuongeza nguvu kama mngeshinda sasa watu wamewakazia inabidi wale wenye haya watubu sasa wanabaki makauzu kama kina Sumaye lakini Magu bado hatazami mtu usoni.
Basi sawa
 
Hamkuyasema hayà alipokuja UKAWA!

KWAKUWA hamkosi la kusema, JIFARIJINI! Mwisho malaika wenu na Rais wa UKAWA naye yu mbioni!

Nyumbu watakosa mchungaji
Hueleweki, hebu weka connection ya Mchungaji, Rais na Malaika. unarukaruka kama maharage jikoni
 
Kinachinihusu ni USALITI wake. Kama kiongozi mwandamizi anatakiwa awe na MSIMAMO. Siyo Bendera fuata upepo. Nakuhakikishia kuwa HADHI yake imeshuka SANA katika Jamii ya ndani na ya Kimataifa....Utanambia...
Hata chadema hadhi ilishaisha toka wampokee lowasa waliyemtusi miaka 8 ni vile hawajitambui tu very soon atarudi nae CCM.
 
sasa anayejitambua huko ni nani,maana wengi huko kabla ya kuhama walitoa kauli za kishujaa ndani ya ccm,mara "asiyenitaka atoke yeye ccm ila mimi sitahama ccm"leo wapo wap? hawa wakati wanatoa hizi kauli walikuwa wanajitambua hawajitambui??mnashangaa leo ya mwapachu,ni mwendelezo ule ule wa wanasiasa vigeugeu na huu ni mwanzo tu,mpaka 2020 tutawaona wengi tu.........
Bado tunamsubiria Yule rais Wa mioyo pamoja Na Yule Babu maana wanasiasa hawaeleweki kabisa.
 
ila hakuhamia chadema wala hakiwah kuchukua kadi ya chadema wala chama chochote ndani ukawa
Inawekana uyasemayo yakawa kweli,rais Wa mioyo yenu alisema hatahama CCM anayetaka kuhama ahame lakini baadaae huyoo akakimbilia chadema ni muda tu naye atarudi vilevile sijui mabadilikoooooo itakuaje tena.
 
aliikuta chadema,na hata akiondoka chadema itabaki kuwa imara
 
M
CCM wanadai UKAWA imekimbiwa na Balozi Mwapachu. Hivi Mwapachu alipoondoka CCM alisema anajiunga na chama gn cha upinzani? Na amerudi CCM kutoka wapi? Lowassa alijiunga CHADEMA, Tanzania inajua na dunia inajua.. Sumaye alijiunga CHADEMA, Tanzania inajua na dunia inajua. Lakini Mwapachu alijiunga na chama gani? Nani anajua? Akina Masha, Ole Medeye, Mgeja walijiondoa CCM tukawaona "front" kwny majukwaa ya UKAWA. Lkn Balozi Mwapachu hakujulikana alienda wapi. Alipotea kama "Msukule" hadi leo alipoibuka kutoka "mafichoni" halafu mnasema UKAWA tumepoteza.? Tunapotezaje mtu ambaye hajawahi kuwa wetu? Mwapachu hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote kati ya vinavyounda UKAWA. Hajawahi kushiriki activity yoyote ya UKAWA. Sasa tumempotezaje? Maoni yangu tu. Tupo wengi mno.
CCM wanadai UKAWA imekimbiwa na Balozi Mwapachu. Hivi Mwapachu alipoondoka CCM alisema anajiunga na chama gn cha upinzani? Na amerudi CCM kutoka wapi? Lowassa alijiunga CHADEMA, Tanzania inajua na dunia inajua.. Sumaye alijiunga CHADEMA, Tanzania inajua na dunia inajua. Lakini Mwapachu alijiunga na chama gani? Nani anajua? Akina Masha, Ole Medeye, Mgeja walijiondoa CCM tukawaona "front" kwny majukwaa ya UKAWA. Lkn Balozi Mwapachu hakujulikana alienda wapi. Alipotea kama "Msukule" hadi leo alipoibuka kutoka "mafichoni" halafu mnasema UKAWA tumepoteza.? Tunapotezaje mtu ambaye hajawahi kuwa wetu? Mwapachu hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote kati ya vinavyounda UKAWA. Hajawahi kushiriki activity yoyote ya UKAWA. Sasa tumempotezaje? Maoni yangu tu. Tupo wengi mno.
Mkuu samahani lakini pengine nimesahau Sumaye alichukua kadi ya chama lini,wapi Na nichama gani? Mimi nakumbuka alirudisha kadi ya CCM Ila kuhusu kuchukua kadi ya chama kingine sikumbuki hebu nikumbushe.
 
chadema ni chama cha watu wasio na maono mazuri kwa asilimia kubwa, mi pamoja na kuwa siipendi ccm, lakin siipendi chadema zaid, sasa Mwapachu Namuona Kama Mchumia Tumbo Tu, Kwa Akili Yake Alidhan Kwa Mipango Ya Maigizo Watalitoa Dubwasha Ccm Madarakani? Pia Lowassa Nilitokea Kumdharau Kama Alionekana Kupenda Sana Madaraka Kuliko Watanzania, Na Mungu Aliona Na Kukwamisha Mipango Yake
 
Ni kwel mkuu. Tatizo vjana wa siku kichwani mwao ni mihemko tu hakuna hata mmoja wa kufikiri. Sikuwahi amini hata siku moja lile kundi lilowahi jiita kundi la mabadiliko. Kama unawaza kwa kutumia akili zako utakubaliana nami lkn ka unawaza kwa kutumia kadi ya chama chako utapinga Sana. Kundi la lililojiita la mabadiliko lilikuwa ni kundi la waroho wa madaraka tu hakuna kingine
 
Watu wa aina ya Balozi Mwapachu wanawavuruga sana vijana Watanzania!

Fikiria kuna watu walikuwa wanapiga kelele za kumpongeza sana siku ambalo aliachana na CCM. Leo pia wanapiga kelele ya kumdharau katika maamuzi yake huku wengine wakiachwa na mshangao.

Mbaya zaidi anawaambia yaliyopita si ndwele, tugange yajayo!
Ni kwel mkuu. Tatizo vjana wa siku kichwani mwao ni mihemko tu hakuna hata mmoja wa kufikiri. Sikuwahi amini hata siku moja lile kundi lilowahi jiita kundi la mabadiliko. Kama unawaza kwa kutumia akili zako utakubaliana nami lkn ka unawaza kwa kutumia kadi ya chama chako utapinga Sana. Kundi la lililojiita la mabadiliko lilikuwa ni kundi la waroho wa madaraka tu hakuna kingine
chadema ni chama cha watu wasio na maono mazuri kwa asilimia kubwa, mi pamoja na kuwa siipendi ccm, lakin siipendi chadema zaid, sasa Mwapachu Namuona Kama Mchumia Tumbo Tu, Kwa Akili Yake Alidhan Kwa Mipango Ya Maigizo Watalitoa Dubwasha Ccm Madarakani? Pia Lowassa Nilitokea Kumdharau Kama Alionekana Kupenda Sana Madaraka Kuliko Watanzania, Na Mungu Aliona Na Kukwamisha Mipango Yake
 
Cheap politics! Amerejea kutoka wapi?uroho wa madaraka utaimaliza nchi hii.
 
Back
Top Bottom