Haya ndio matunga ya kubebwa bebwa, huyu siyo career diplomat, ndio walibebwa na rafiki zao wakati wakinyima wasomi wetu wa diplomasia nafasi kwa kuzijaza ili wakafaidi. This guy is full of shit, anajitangaza mfanyabiashara enzi zile akijida ni mkurugezi wa JV group kampuni za wahindi ambazo yeye hana share hata moja, haya tusisahau mke wake ametapeli wanawake wa kitanzania kupitia kitu walichokiita paradigm mpaka watu wakaenda mahakamani nasijui kama watu walilipwa, walifanya Deci ambapo wanawake wenzao walipoteza mamilioni ya pesa sasa tunashangaa nini?Ni dead wood huyu na oppurtunists mbaya.
Hana moyo wa kuitumikia nchi, bali ana fikiria maslahi yake binafsi kwa kujuana na watu ili wampe ulaji.
Hakuna kitu kibaya kama kukikana chama kilichokulea na kufuata maslahi yako na tumbo lako, haafu unakula matapishi yako.
Utaaminiwa na nani?
Jamani mnakumbuka mbwembwe alizokuja nazo na vikao vya kufanywa mwenyekiti pale British Legion ya sasa, akiwahadaa wakina Masha vijana wadogo damu changa libabu lizima. ni jambo la aibu sana kusoma alichoandika, japo tunajua kuwa uongo mwingi hapo, tunali task gazeti la kizalendo Jamhuri litupe jibu, tutajua tu huyu mtu anayeendesha gari zenye nembo ya EAC miaka kadhaa baada yakutoka kwenye nafasi hiyo , siyo mtu wa kawaida, a total failure hakika mungu ni mwaminifu, anafikiri magufuli ni sharo baro? hayo yalipita na enzi za msogamania zimekwisha maana tunaelekea kwenye Tanzania tunayoitaka, leave our country alone rudi tanga huko kwenu na uswahili wako, hata shule haijakusaidia?