Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Kwa sasa alitakiwa awe ni mwanachama mpya (rookie) wa kuanza mwaka 2016, hata vijana wale wa bongo movie wawe seniors wake.

Tamaa na busara huwa haviendi pamoja!

Ningekuwa mimi ndiye katibu mkuu wa CCM, ni wazi kuwa hata ile kadi yake ya TANU isingekuwa na kumbukumbuku tena katika maisha yake mapya ya kisiasa ndani ya CCM! Ingakua inajulikana kuwa alijiunga na CCM mwaka 2016 tu.

Kabla ya mwaka kuisha tunamsikia Kingunge na Sumaye nao wakirudi CCM; Lowassa hawezi kurudi kwa vile CHADEMA ni mali yake binafsi.
 
Bado tunamsubiria Yule rais Wa mioyo pamoja Na Yule Babu maana wanasiasa hawaeleweki kabisa.
Kwa hiyo sasa atakuwa ni mwanachama mpya (rookie) wa kuanza mwaka 2016, hata vijana wale wa bongo movie watakuwa ni seniors wake.

Tamaa na busara huwa haviendi pamoja!

Ningekuwa mimi ndiye katibu mkuu wa CCM, ni wazi kuwa hata ile kadi yake ya TANU isingekuwa na kumbukumbuku tena katika maisha yake mapya ya kisiasa ndani ya CCM! Ingakua inajulikana kuwa alijiunga na CCM mwaka 2016 tu.
...Ila tutasikia kuwa NI MWANACHAMA wa CCM MWANZILSHI wakati kuna muda (wa miezi 5 hivi) ALIPACHUKA!
 
Hivi nani kamruhusu Balozi Mwapachu kurudi CCM? nadhani mmekosea sana kumkubali huyu mtu, huyu ndio organizer mkubwa wa wale vijana waliokuwa wanaimba nyimbo kule Dodoma baada ya mtu fulani kuwekwa X, huyu ndio organizer mkubwa wa vijana vyuo vikuu kumsupport Lowassa, sasa nataka niwaambie huyu jamaa amerudi CCM kwa kazi maalumu wala sio kama mnavyodhani.

Huyu ni mtoa taarifa kama watoa taarifa wengine waliopo ndani hivyo uongozi uwe makini na huyu mzee wa mahaba ya Lowassa au
Waziri wa Mambo ya Nje wa Lowassa.
 
Pressure ya kutolewa Mwenyekiti ya Board ya Airtel....mchezo? Na mambo yake kibao yanakwama maana sio mwenzao tena! Haingii popote kama zamani! Ushauri arudi ccm....!!
 
Bado tuna imani Na lowassa yeye Na aende tu atuachie lowassa wetu, ni aibu kwa taifa Kuwa Na wazee aina ya huyu Juma

duuuu kweli lowasa aliitisha ccm haswaaa,hili jemedari la kisiasa tz ni wakukumbukwa na kuigwa,ila ndo basi tena cdm imeimarika ajabu na zaid ya yote piga ua hapa harudi mtu hicho chama alaaaa.magu aendelee na maigizo 2020 sisi tunamteketeza kama kawa

Hivi jamani Lowassa nae akirudi mtakuwa na kipi la kusema? Acheni kuwazungumzia watu na kuwashabikia kihayawani, shabikieni wazo au falsafa binadamu mawazo yake si permaneant siku akibadilika atakuacha uchi huna nguo,tuchukue tahadhari na wanasiasa hawana haya hata kidogo
 
...Ila tutasikia kuwa NI MWANACHAMA wa CCM MWANZILSHI wakati kuna muda (wa miezi 5 hivi) ALIPACHUKA!
sasa kwani mtashangaa tukimpa uongozi.kama nyie mlimpa sumaye na lowassa waliojiunga hata mwezi hawakumaliza mkawapa kibendera cha kukimbiza upepo wa kwenda ikulu sembuse sisi tukimpa mwapachu uongozi??
 
hahahaha hakuhamia chama chochote is like from ccm to ccm akwendreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


hapa wanataka kutusahaulisha znz loh
1458247505919.jpg
 
Mimi namshairi Magufuli hawa majitu wawe wanarudi au hawarudi awashughulikie tu.. asibadilishe msimamo..
 
Hivi nani kamruhusu balozi mwapachu kurudi
ccm!nadhani mmekosea sana kumkubali huyu
mtu!huyu ndio organizer mkubwa wa wale vijana
waliokuwa wanaimba nyimbo kule dodoma baada
ya mtu fulani kuwekwa X,huyu ndio organizer
mkubwa wa vijana vyuo vikuu kumsupport yule
jambazi!!sasa nataka niwaambie huyu jamaa
amerudi CCM kwa kazi maalumu wala sio kama
mnavyodhani!!huyu ni mtoa taarifa kama watoa
taarifa wengine waliopo ndani hvyo uongozi uwe
makini na huyu mzee wa mahaba ya lowasa
waziri wa mambo ya nje wa Lowassa.
hawezi kukaribishwa chumbani huyo. ataishia sebuleni kwa jinsi ninavyowajua ccm. labda angesubiri rais mwengine kama alivyofanya wasira na siyo huyu aliyopo.
 
husiogope hilo ni pandikizi la Lowassa linakwenda kuweka njia ya ushindi ya Lowassa 2020.


swissme
 
Back
Top Bottom