Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Haha njaa mbaya sana!! Kwahiyo kadi zake za TANU & CCM atarudishiwa? Kwahiyo now anaamini Magufuli ni Leader na si manager tena?
Shangaa! Huyu jamaa lazima awe anafanyiwa vibaya na wenzake. Siyo bure kabisa yani!
 
Zipo taarifa za chini kwa chini zinazodai kuwa Balozi Juma Mwapachu ana mpango wa kurejea CCM. Mpaka sasa bado haijafahamika ni sababu zipi hasa zilizompelekea kufikia uamuzi huo.

Itakumbukwa kwamba wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Balozi Mwapachu alirudisha kadi za TANU na CCM na kutangaza kumuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa.

=======

UPDATES:

View attachment 330199
Hatimaye imekuwa kweli. Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kurejea CCM



View attachment 330200
View attachment 330201

Kawahonga wajumbe njaa ili apate pa kupenyea arudi kilingeni. Lkn je amerudi kwa mapenz yakeee au ni shinikizo la familia baada ya kuona hali inazidi kuwa mbaya kutokana na fursa alizokuwa anapata serikalini kupigwa ban. Au inachangiwa pia na kukosa mwelekeo ndani ya chama chake kipya CDM? maana ndani ya CDM hakupata
fursa yoyote kiasi cha kujiona mwana mkiwa Na hivyo kumfanya awaze kurudi kundini
 
Dah Imagine Lowassa ndio angekuwa Rais, Kweli Mungu anatupenda watanzania... Yaan tungekaribisha wezi wengi dah... Tumuombeeni sana JPM katumwa na Mungu asee, washaanza kurudi sasa, wengine watarudi kwa staili ya kustaafu sasa, just wait and see
 
Arudi asirudi haongezi value yoyote CCM.Walitutelekezea CCM vitani yeye na akina kingunge na akina Sumaye tumepigana wenyewe tumeshinda.Sasa ni HAPA KAZI TU.Atajijua yeye na wenzie waliotusaliti na kusaliti CCM kwenye vita ya uchaguzi.



Mkuu Punguza munkari, hizi ni Siasa tu. Mifano hai ipo mingi kama utakumbuka Stephen Wasira alihamia NCCR kwa ndere na nyodo dhidi ya CCM. Hao wapo wengi, na CCM chama kongwe sawa na nyani mzee kaparamia miti mingi. Take it easy comrade, let's stay focused.
 
Zipo taarifa za chini kwa chini zinazodai kuwa Balozi Juma Mwapachu ana mpango wa kurejea CCM. Mpaka sasa bado haijafahamika ni sababu zipi hasa zilizompelekea kufikia uamuzi huo.

Itakumbukwa kwamba wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Balozi Mwapachu alirudisha kadi za TANU na CCM na kutangaza kumuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa.

=======

UPDATES:

View attachment 330199
Hatimaye imekuwa kweli. Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kurejea CCM



View attachment 330200
View attachment 330201

Agizo la mwenyekiti wa ccm la kuwashughulikia(kuwatumbua ) wale wote waliokisaliti chama wakati wa uchaguzi mkuu nadhani litamkumba na Mwapachu, hivyo anatafuta stress tu ,alipaswa kupumzika siasa!
 
Balozi Juma Mwapachu ametoa maelezo yakikana Tamko lililotolewa na kusambaa katika mitandao ya Kijamii, likidaiwa ni lake.

Tamko ambalo Balozi Mwapachu amelikana: Hii ndio hotuba ya Balozi Juma Mwapachu akiachana na upinzani kwa kazi nzuri ya Magufuli

image.jpeg



Maelezo ya Balozi Mwapachu

==========

Ndugu zangu.

Wengi wenu mmekwisha pata taarifa kuhusu kurejea kwangu lCCM..Tamko langu la kurejea CCM nililitoa katika ofisi ya CCM ya Kata Mikocheni saa 10.40 jioni. Ni nililitoa kwa kuongea bila kuisoma na kusambaza printed speech yenyewe. La kushangaza ni kwamba kuna wahuni waliamua na kunitia Jamii Forum wakachapisha eti tamko langu.

Tamko lenyewe limeandikwa hovyo. Kiswahili kibovu na hata uandishi wenyewe hauna ufanisi wowote . Ni kukosa heshima kwa mtu mwandishi mzuri kama mimi ambaye hata Chuo Kikuu cha DSM kimetunukia degree ya udaktari wa fasihi. Juu ya hivyo hadithi ndefu iliyotolewa ni kejeri na matusi kuhusu utu na uadilifu wangu.

Ningesema hawa wahusika ni watu washenzi wakudharauliwa na kupuuzwa. Lakini lazima tugeuze matumizi ya mitandao ya jamii kama tutajenga jamii ya kiutu na kiungwana. Hatua za kisheria hazina budi kuchukuliwa dhidi ya wahalifu hawa.

Ndugu zangu, Tamko langu rasmi litatoka kesho kwenye magazeti. Na pia nitalichapisha katika ukurasa huu. Tuendelee kuwa pamoja.


Chanzo: Balozi Mwapachu FB Account
 
Tanzania one huyu wa 1964 Mpaka wakaitwa Ikulu siku ya Muungano na Mwl Nyerere na mpaka leo kaweka kwake hiyo picha ya kumbukumbu lakini akili zimeisha tangu andoke Ndugu yake Harith Bakari Mwapachu aliekuwa Waziri wa katiba wakati wa Mkapa na Usalama wa Raia wakati wa Uwaziri Mkuu wa Lowassa
 
Katika kitu cdm yangu ilechemsha ni kuwachukua hawa wanaccm wahuni wakiongozwa na Lowassa. Hakuna kete mbovu kama ile, maana sasa hivi hata kile tulichokuwa tunakisimamia kila tukiongea tunapewa mifano halisi ya kukumbatia hii list chafu toka ccm. Halafu hata kwa macho ya kawaida tu hii list ilifuata vyeo, yaani wewe upambane miaka yote kupinga ufisadi tena umchukue ama uwachukue watu walewale uliokuwa unawatuhumu huku ukitoa utetezi dhaifu. Sasa nadhani viongozi wa cdm mnaona nini hilo kundi la wanaccm linafuata. Halafu huyo Lowassa kuendelea kumuacha meza kuu ni kujidhalilisha tu. Hathubutu hata kuvaa nguo ya chama, anangoja tu ateuliwe kugombea urais 2020 wakati hana lolote.

CC: Tumaini Makene.
Wewe [emoji86] Ungefunika tu hilo kalio lako na ucongee lolote kuhusu cdm. Hujui siasa inaendeshwaje maana kama cdm icingefanya iliyofanya sahivi isingekuwa hapo ilipo. Fanya tathmini kama ubongo wako uko sawa uchguzi uliopita kilikuwa na wabunge wangapi halmashauri ngapi na sasa inatarajia kukamata jiji la dar baada miji mikubwa kusombwa pia na cdm. Haya ni mafanikio makubwa ndani ya chama cdm. So! usiwe kama ngucheerro [emoji86]
 
Zipo taarifa za chini kwa chini zinazodai kuwa Balozi Juma Mwapachu ana mpango wa kurejea CCM. Mpaka sasa bado haijafahamika ni sababu zipi hasa zilizompelekea kufikia uamuzi huo.

Itakumbukwa kwamba wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Balozi Mwapachu alirudisha kadi za TANU na CCM na kutangaza kumuunga mkono aliyekuwa mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa.

=======

UPDATES:

View attachment 330199
Hatimaye imekuwa kweli. Balozi Mwapachu ametangaza rasmi kurejea CCM



View attachment 330200
View attachment 330201

Alichukua kadi no ngapi upinzan
 
Sasa kubwa kuliko linakuja nalo ni la fisadi Lowasa, subiri uone sasa hivi ranchi yetu Handeni iliyoporwa na fisadi Lowasa inarudishwa mikononi mwa Wananchi na hapo ndiyo mtajua kwamba Wanasiasa wa kibongo wote wezi tu!
Fisadi ni wewe Na Nyumba yako, tumbili wewe
 
Sasa kwa uandishi huu naamini ni kweli hiyo ni hotuba yake. Kwa kweli kama alitunukiwa degree ya fasihi basi elimu yetu ina kasoro kubwa. Yaani matusi hivi! Khaa! Bora akae kimya tu maana anazidi kujidhalilisha
 
Basi sawa..rejea huko maana kuna masufuria ya nyama pale Lumumba...
 
Back
Top Bottom