Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,121
- 6,062
HILO LINAONEKANA WAZI MNO! UKIFUATILIA UTAONA JINSI ALIVYOGEUKA MPIGA DEBE WA KENYA! HII NI HATARI SANA!Mbaya zaidi mtu mwenyewe alishafika level ya ubalozi wa nchi nje ya nchi....Mungu atunusuru viongozi hawa vinasaba vya kina Mangungo bado vipo nao siyo ajabu tupo jinsi tulivyo; huko East Africa Community atakuwa amepitisha mangapi kwakushawishiwa kama kwa ushawishi mdogo wa mtu mmoja aliweza sahau nafasi yake katika taifa hili?