Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Balozi Juma Mwapachu atangaza kurejea CCM...

Siasa mchezo wa maigizo sana kakamilisha filamu yake saafiii
 
Mwapachu yuko exactly kama walivyo wana CCM walio wengi..
ni kuwaza kupiga dili kutwa
si ajabu na leo kuna fungu kapewa la kurudi CCM
kuna fungu kapewa sawa lakini mbona hamkusema alipohamia chadema kama kuna fungu alipewa pia??mlibaki kufurahia na kusema ccm imekwisha hamkujua kuwa ni mpiga dili??ndo hapo mkae mjue hata huyo lowassa wenu naye ni mpiga dili tu hana lolote
 
wanafurahi anapoingia anapotoka ni kigeugeu wanasahau mtu wao alisema "hawezi toka ccm asiyemtaka ahame yeye"mwisho wa siku ni yeye aliyehama huyo naye tumwite nani?wamesahau ndugu yao alisema "lowassa akichaguliwa atahama chama leo hii yupo naye ukawa,huyo naye hamkujua kama kigeugeu mpaka leo hii mwapachu mumuone wa ajabu??
 
Hata majuzi waziri wa kazi alipoenda Arusha alipita pale Ofisini kwa mtoto wake na Leopard.. Mtoto wake ana kesi kubwa sana na wafanyakazi wa hiyo kampuni waliofanya kazi kwa zaidi ya miaka 20 bila ujira wowote kulipwa NSSF wakati kwenye salary slip walikuwa wanakatwa makato ya NSSF... Nadhani pale walimbeep tu na bado kesi iko mahakamani... Na pia ana msala wa kufanyisha watu wasio Watanzania kazi bila ya permit.. Nadhani hili kasheshe ndio limefanya dogo ampigie babake magoti arudi CCM..
Daaaaah!!!! Aiseee hawa WanaSiasa watatumaliza. Ila kwa Huyo Mzee nafikiri it's a little bit too late maana Bosi wetu huyu mpya hatabiriki.
 
Mwapachu yuko exactly kama walivyo wana CCM walio wengi..
ni kuwaza kupiga dili kutwa
si ajabu na leo kuna fungu kapewa la kurudi CCM

He is an opportunist of the highest order!! Magufuli sio kama hao aliowahadaa na wakampa vyeo huko nyuma bila kujua kuwa alikuwa sio mtu makini na muadilifu!!
 
Sasa wewe inakuhusu nini Mwapachu kuchagua anachokipenda? Kumbuka hii ni siasa na sio vinginevyo. Mwache huyu mzee achague chama bora.
 
Sasa wewe inakuhusu nini Mwapachu kuchagua anachokipenda? Kumbuka hii ni siasa na sio vinginevyo. Mwache huyu mzee achague chama bora.
Kinachinihusu ni USALITI wake. Kama kiongozi mwandamizi anatakiwa awe na MSIMAMO. Siyo Bendera fuata upepo. Nakuhakikishia kuwa HADHI yake imeshuka SANA katika Jamii ya ndani na ya Kimataifa....Utanambia...
 
Jamani Mwacheni Mwapachu Apachuke Maana Anatafuta Cheo Na Siyo Kuaminiwa
 
Haya ndio matunga ya kubebwa bebwa, huyu siyo career diplomat, ndio walibebwa na rafiki zao wakati wakinyima wasomi wetu wa diplomasia nafasi kwa kuzijaza ili wakafaidi. This guy is full of shit, anajitangaza mfanyabiashara enzi zile akijida ni mkurugezi wa JV group kampuni za wahindi ambazo yeye hana share hata moja, haya tusisahau mke wake ametapeli wanawake wa kitanzania kupitia kitu walichokiita paradigm mpaka watu wakaenda mahakamani nasijui kama watu walilipwa, walifanya Deci ambapo wanawake wenzao walipoteza mamilioni ya pesa sasa tunashangaa nini?

Jamani mnakumbuka mbwembwe alizokuja nazo na vikao vya kufanywa mwenyekiti pale British Legion ya sasa, akiwahadaa wakina Masha vijana wadogo damu changa libabu lizima. ni jambo la aibu sana kusoma alichoandika, japo tunajua kuwa uongo mwingi hapo, tunali task gazeti la kizalendo Jamhuri litupe jibu, tutajua tu huyu mtu anayeendesha gari zenye nembo ya EAC miaka kadhaa baada yakutoka kwenye nafasi hiyo , siyo mtu wa kawaida, a total failure hakika mungu ni mwaminifu, anafikiri magufuli ni sharo baro? hayo yalipita na enzi za msogamania zimekwisha maana tunaelekea kwenye Tanzania tunayoitaka, leave our country alone rudi tanga huko kwenu na uswahili wako, hata shule haijakusaidia?
Afadhali wat wanafunguka sasa.
Magufuli tunaomba akaze buti, mwndo ni ule ule , wanafiki wanajitokeza hadharani.
Huyu Mwapachu anarudi CCM kulinda maslahi yake, hakuna cha Lowassa wala kupendezwa na Magufuli.
 
Jamani Mwacheni Mwapachu Apachuke Maana Anatafuta Cheo Na Siyo Kuaminiwa
,,, Kweli nami namwacha APACHUKE.......! Asante.
Ntawapa pendekezo TUKI waongeze msamiati wa PACHU...PACHUKA....PACHULIWA.....na minyambulsho yake yote kuonesha:
1. Mtu yeyote (hasa Mwanasiasa) asiyekuwa na msimamo,
2. Msaliti..
3. Kigeugeu..
4, Mwuchu wa Madaraka...
.....yaani: Anayepachuka kufuata UPEPO wa Kisiasa unakoelekea....
 
Kinachinihusu ni USALITI wake. Kama kiongozi mwandamizi anatakiwa awe na MSIMAMO. Siyo Bendera fuata upepo. Nakuhakikishia kuwa HADHI yake imeshuka SANA katika Jamii ya ndani na ya Kimataifa....Utanambia...
Kila kitu ni vile moyo unataka sio kulazimisha, kama ameona Chadema usanii mwingi sasa afanyaje? kama ameona chadema hakifuati katiba ya chama sasa afanyaje? kama ameona chadema ni utoto mwingi sasa afanyaje? wewe unakipenda chadema baki pekee yako huko usiwalauumu wengine.
 
...AMEPACHUKA....Basi. Na APACHUKE...Aendage na Uajenti wake: Karipoti: Kazi mliyonituma NIMEIMALIZA... Tutaona na WENZKE wengi tu siku za usoni...
 
Mwapachu yuko exactly kama walivyo wana CCM walio wengi..
ni kuwaza kupiga dili kutwa
si ajabu na leo kuna fungu kapewa la kurudi CCM
Sio wana CCM bali ndivyo tulivyo Watanzania wengi
 
Back
Top Bottom