Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,659
Amejimaliza vibaya...hakuna kitu kibaya kama kuwa kigeugeumapachu hawezi haminika tena popote.....
Amejimaliza vibaya...hakuna kitu kibaya kama kuwa kigeugeumapachu hawezi haminika tena popote.....
mmmh, hata kwa mke wake au familia yake?mapachu hawezi haminika tena popote.....
Njaa Njaa Njaaa
Njaa ni kitu kibaya sana.
Nani aliahidiwa uwaziri mkuu na Lowassa?
Waulize TANESco watakujibuAmesahau nini?
Kwa CCM ya sasa ataendelea kuitwa kapi, hajasolve chochote kwa kutangaza kurudi.Alipokuja chadema mlimuita kapi kwa sasa mnamuitaje??
Hiki ndicho ninachojiuliza pia,kwa umri wake anahitaji cheo bado?je asingeweza kutangaza kumuunga mkono Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya bila kulamba matapishi ya kurudi chamani?busara zimempotea.Tatizo siyo kurudi CCM tatizo ni sababu za yeye kurudi ccm
Kwa sasa ataishia tu ubalozi wa nyumba kumi.Hana lake tena.Kaambiwa arudi ili apewe kazi maalum, ikiwezekana hata ubalozi nje ya bongoland.
Haa ha ha, huyu Mzee bure kabisa.boya kabisa..maboya kama haya ndio yale nchi imevamiwa yanahamia kwa maadui hadi game liishe.
Unless kama walimpeleka kwa kazi maalumu...Kwa CCM ya sasa ataendelea kuitwa kapi, hajasolve chochote kwa kutangaza kurudi.