Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Imehusina nini kuleta HESHIMA katika taaluma ya Mtu, Nafiliri Fatma Karume yuko kitaaluma zaidi, sio mnafikri wala mchumia tumblp,.. Ali Karume na hao wanae msapoti ni watu watu wa ovyo sana
 
Mkuu

Nakijua sana,tena jina lake kamili ni The Honorable Society of the Middle Temple au simply Middle Temple!

Tena ni among the only 4 UK's Inns of Court exclusively entilled to call their members into English Bar as barristers!

Sasa hawa mapunguani humu wanafananisha hii kitu na mavi ya vyuo hapa mavumbini!

Yaani kasoma huko misituni TEKU or whatever that is,anakuja hapa anaongea mavi...

Ndio maana Fatuma anawashinda kesi kila siku mahakamani!

Hawa watu wakuonea huruma tu mkuu!

Geez!
Wakina Jaji Bomani hadi wanakuja kuwa barristers wamepiga hapo: Mimi kuna manzi nimefanha naye kazi amesoma LSE na kupita hapo Middle Temple, mziki wake ulikiwa siyo wa kitoto.

Kwanza CV ya Fatma inambeba kwenda kufanya kazi sehemu nyingi duniani. Watamponda tu kwasababu zao binafsi na wivu wivu tu. Kukosea mahakamani mbona wanasheria wengi sana wanakosea hadi majaji nao wanakosea lakini hii haikufanyi wewe kuwa kilaza.

Huwezi kulinganisha The Law School of Tanzania na Middle Temple hata siku moja. Hata Waziri Kabudi amewahu kukiri hadharani kwamba wana mpango wa kuanza kusomesha wanasheria nchi Uingereza ili wawe Barristers.....

Teh teh teh, halafu anakuja mbongo anasema Fatma kasoma vyuo vya kata
Bwahahahahahahahaha.......
 
Hawa wakuonea huruma tu,ukibishana nayo unapoteza nguvu zako tu..

Hayajui yanayokisema!
 
Kabudi alikimbia Bar Exam akapewa uwakili na Jaji Mkuu kupitia njia za kinyemela. Hajawahi fanya Bar Exam lakini leo hii ni Wakili na Waziri wa Katiba na Sheria. Juzi tena akatudanganya bungeni kitu ambacho hakipo akikwepa swali la Zitto...Bwahahaha CCM ni wepesi sana.
Aisee kama huna uhakika kuhusu CV za watu acha kabisa kuongea,kabudi ni prof mkongwe wa sheria.....kuwa makini ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
London School of Economics and Political Science is one among the best Universities in the world. Nina uhakika wewe huwezi kwenda kusoma pale hata siku moja. Teh teh teh....

Middle Temple London walisona wakina Mzee Jaji Bomani na kuwa barristers. Ila yote tisa, huyu Fatma Karume hata angesoma TEKU wewe usingemshinda maisha hata siku moja.

Mtoto wa mkubwa ni mtoto wa mkubwa tu: Amekula maisha tokea utotoni na anaendelea kula mpaka sasa. Wewe endelea kuwa na wivu wako tu, lakini ukweli ni kwamba amekushinda maisha.

Eti LSE ni chuo cha kata....
Bwahahahahahahahahahahaa.
Mimi nimesoma vyuo zaid ya hicho, alokuambia mimi sili maisha ni nani?Nakula maisha na nitaendelea kula maisha kwa raha zangu.
 
Mimi nimesoma vyuo zaid ya hicho, alokuambia mimi sili maisha ni nani?Nakula maisha na nitaendelea kula maisha kwa raha zangu.
Waliosoma vyuo zaidi ya LSE huwa wanaonekana tu kuanzia composure yao: Huwa wanafahamika tu. Kama umesoma hivyo vyuo halafu bado uko hivi basi una matatizo makubwa mno. No hard feelings!

Ukitaka nikutajie mifano halisi ntakupa na : Humu ndani JF tu nawafahamu wanne. Ntawataja halafu ujilinganishe nao.
 
Aisee kama huna uhakika kuhusu CV za watu acha kabisa kuongea,kabudi ni prof mkongwe wa sheria.....kuwa makini ndg

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo, kabudi ni Prof Mkongwe wa sheria na wala mimi sikatai. Lakini nataka kufahamu ni lini huyu Prof wetu mkongwe alifanya Bar Exam hadi akawa wakili na kuwa Corporate Counsel wa University of Dar es salaam ?? Mkinijibu hapa ntawaelewa.
 
Ukisikiliza baba ake anavyomchambua nafikiri hutamkweza huyo fatuma hata kdg.Angekua intelligent angesoma vyuo vyenye heshima huko aliko pelekwa. Cambridge na Oxford alichemka. Ndio maana father anahoji huu ujuaji mwingi unatoka wapi?Na ni kweli kabisa, Yaani Fatuma mjuaji kuliko hata Chenge wa Harvard university hahahahahahah.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Misuli full of confidence to the brim. And there certainly you belong. Foolish fool full of fake confidence. Ukitumia misuli kufikiri you come up with such counterfeit corrupt confidence. Kusoma Harvard kuna kusupp na kudisco pia. Siamini kama kuna msomi anaweza kuabudu chuo kikuu fulani kiasi hicho! Nani kakwambia Harvard wote wanagraduate with honours? Misuli come to senses. Yesu alitoka Nazareti. Geniuses wapo na wanatoka popote. What matters is to deliver. Kama una chuki or whatever na Shangazi ni juu yako. Lakini sidhani sana kama una chochote naye. Naona uliapa kupinga yeyote asiyemkubali mkulu. Na Shangazi amemkataa kabisa mkulu.Una PhD katika fani ya kujipendekeza. Foolish laughter you have. Sasa kibwagizo/pambio umepata. Tatizo hapa nikutumia misuli kufikiri. Unakiri wewe si mwanasheria lkn unajua mwanasheria mzuri ni yupi. Full of confidence. Siwezi kukushauri kutumia kitu ambacho huna. Nacho si kingine bali akili. Senses are not that common!
 
Huyu ni failure ndiyo maana kashindwa ku practice law UK. Mweupe ka Ridhiwani vyeti vya mapambo. Hawezi kuwa QC huyu. QC kama Cherie Blair kapambana kutetea watu v serikali ya mumewe. Huyu Lissu kamzidi mara 1000.
Nilishasema na nilitaka kuandika uzi kuhusu yeye ila nikaona kama nitampa kick.

Fatuma anabebwa na jina kubwa la familia yao lakini upstairs hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba yake atakuwa ana msupoti kisirisiri, kalelewa vibaya hana adabu kabisa Fatuma

Hivi mtu akisema ukweli ndio hana adabu!! Balozi ausahau urais Zanzibar, ulishapita ndani ya familia!
 
Hayo amesema baba yake mdogo.
Ila mimi nipo kimya bado siyaafiki maneno yake. Bibi yake huyo Fatma Karume (Bi Fatma Karume) yupo hai siku akiongea yeye na atakachokiongea kuhusu mjukuu wake ndio nitakubaliana nacho. Maana mtoto (Fatma Karume) anaweza kuwa yuko vizuri upstairs na baba mdogo (Ali Karume) zero brain.

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Wewe na Ally karume nani anayemjua vizuri fatuma karume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ambacho sielewi ni kwamba kwanini walete majungu dhidi ya kila mtu ambaye anampinga Maguful. Kwanini wasikosoe hoja zake binafsi kama yeye anavyofanya.
Kwani Fatuma anahoja gani za msingi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Back
Top Bottom