Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

Baada ya Balozi Ali Karume kuweka bayana kwamba licha ya Familia kumchangia changia Binti yao Fatma Karume akasome , alishindwa kabisa kumudu masomo katika vyuo vikuu vyenye heshima Ughaibuni, Mwandada huyo ambaye hana Staha hata kwa wazazi wake anaonekana kuteswa na kauli ya Balozi ambaye ni mmoja wa wazazi wake. FATMA ameweweseka na sasa anachokifanya ni kujaribu kujibu mapigo kwa Mzazi wake ili kujilinda lakini ukweli ni kwamba ujumbe umefika. Ana
Ali Karume.PNG

Ali Karume 2.PNG



Hili ni shambulio takatifu kwa Fatma na nadhani liwe fundisho kwa watu wa aina ya yake wanaodhani wao wanajua kila kitu wakati kumbe ni wa hovyo kabisa na wanafichiwa siri tu.
 
Hata hii ya kupost hisia zake kwenye mitandao kuhusu familia yao ni kukosa adabu kwa familia yake.

Mtoto aliyefunzwa vizuri angekaa kimya, na mambo haya angeenda kwenye familia kuyajadili ili yaishe kifamilia

Alichofanya Ali Karume ni kuweka in public kwamba wao kama familia hawamuungi mkono mtoto wao kwa vitendo vya kuwakosea adabu viongozi wa nchi.
 
Kufeli mtihani sio dhambi, sio kosa la jinai na jambo la kawaida sana katika maisha ya shule, wala hukua na haja ya kufungua uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye iyo video Shangazi anaonekana alishawahi kuwaga kada wa chama cha Ccm,
 
CV YA FATUMA KARUME HII HAPA(AMEPOST MWENYEWE HII)



FATMA AMANI KARUME

+255 22 211 1622

karume@immma.co.tz

WORK DEPARTMENT

Litigation Partner

POSITION

Fatma Karume is a partner at IMMMA Advocates. Her areas of practice include commercial litigation, judicial review, tax disputes, arbitration, winding-up, receivership, company law, intellectual property law and media l w.

CAREER

Fatma was involved in the merger between Karume & Co and IMMMA 2007, Founder of Karume & Co, Advocates 2004, junior Partner, Mkono & Company, Advocates 2000- 2003, Pupil, 5 Raymond Building, Gray’s Inn, London 1998, Of the Middle Temple, Barrister since 1998, Associate, Mkono & Company, Advocates, 1996, Advocate, High Court of Zanzibar since 1994, apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Zanzibar, 1993 and apprenticed as State Attorney, Attorney General’s Chambers, Dar es Salaam, 1992.

LANGUAGES
English, Swahili & French

MEMBER

Bar Council of England and Wales Law Society of Zanzibar Tanganyika Law Society

EDUCATION

Degree of the Utter Bar, Middle Temple, London, 1998 Postgraduate Diploma in Professional Legal Skills, Inns of Court School of Law, 1998 LLM, London School of Economics, 1997 Diplome de Sciences Juridiques, Universite de Strasbourg, 1991 LLB (Hons), University of Sussex, 1992

Sent using Jamii Forums mobile app

aloo..alafu kuna mswahili mwenye elimu ya ajabu ajabu anakwambia huyu binti eti kilaza?? mtu kabisaa, ulikaa darasa la chuo ukafundishwa na professa anayekwambia leo eti uchumi wa tanzania unakua lakini hapo hapo pato la serikali limepungua....mwingine alikaa aka calculate akakuta accasia walitupiga $190bn na bado ni professa.....
 
Utachekwa bwana mdogo. Mseme lingine, shangazi amesoma London School of Economics, si shule ya kubeza hata kidogo. Tafiteni drama nyingine lakini si shule yake.
mkuu , kuna watu hawata kuelewa hapa...wanafikiri hicho chuo ni kama vya hapa tuu, kwamba marks zikipungua unaweza ukafanya "mipango" zikatosha....
 
mkuu , kuna watu hawata kuelewa hapa...wanafikiri hicho chuo ni kama vya hapa tuu, kwamba marks zikipungua unaweza ukafanya "mipango" zikatosha....
Wanaelewa vizuri ila ndio vile tu kujitoa akili ndicho kinacholipa kwa sasa mjini.
 
Mi ccm inatapa tapa.
Video ya 2016 wana weka leo.
Hio video inahusu msimamo wa Fatma kumtaka Shein atoke amekataliwa na Wazanzibar


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Zanzibar siyo ndogo kivile kiasi cha kufanya kila MTU ajuane Na wazenji wote. Tatizo ni KAFU ya Sharrif walipojiunga Na chama cha democrasia ya mashoga ambao walipanga njama za wizi mdiyo maana kura zilizidi Na mawakala kupigana vituoni. Mimi nilisimamia uchaguzi huo kwa njia ya kuzuia uhalifu najua yaliyojitokeza ya kuzidisha kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una umri gani mkuu ...mi umri wa 37 kama umri wako umenizidi basi mtu kama wewe ni khasara ...pia nadhani huijui Zanzibar vizuri wewe unaijulia kwenye magazeti na kwenye hisia za kichwa tu
 
Back
Top Bottom