misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,659
- 14,317
Wewe na Ally Karume nani anayemjua vizuri fatuma karume?Wakina Jaji Bomani hadi wanakuja kuwa barristers wamepiga hapo: Mimi kuna manzi nimefanha naye kazi amesoma LSE na kupita hapo Middle Temple, mziki wake ulikiwa siyo wa kitoto.
Kwanza CV ya Fatma inambeba kwenda kufanya kazi sehemu nyingi duniani. Watamponda tu kwasababu zao binafsi na wivu wivu tu. Kukosea mahakamani mbona wanasheria wengi sana wanakosea hadi majaji nao wanakosea lakini hii haikufanyi wewe kuwa kilaza.
Huwezi kulinganisha The Law School of Tanzania na Middle Temple hata siku moja. Hata Waziri Kabudi amewahu kukiri hadharani kwamba wana mpango wa kuanza kusomesha wanasheria nchi Uingereza ili wawe Barristers.....
Teh teh teh, halafu anakuja mbongo anasema Fatma kasoma vyuo vya kata
Bwahahahahahahahaha.......
Sent using Jamii Forums mobile app